Viongozi ndiyo wanaokwamisha mchakato wa mabadiliko, FCC yatoa taarifa leo. Mashabiki na wanachama wa Simba mtadanganywa hadi lini?

Yanayoendelea katika klub yetu hii hata Mangungo asingediriki kukubali lakini kwa sababu watu wametanguliza matumbo acha miaka mitatu baada mahakamani itakuwa ofisi klub.
Mkuu unataka kusema Mo ametanguliza tumbo? Unajua hoja nyingine hata kichwani haziingii?
 
Wengi wanaompinga MO sio kwamba wana uchungu na Simba S.C. ni watu wanao ona wivu na watengeneza fitna, ni kawaida ya ngozi nyeusi. Maana ukiwasikiliza wapingaji wengi hawana mawazo mbadala zaidi ya kejeli na matusi kwa muekezaji.

Kauli zao ni "Simba inaibiwa" muhindi ni mjanja anafaidika sana, hawasemi anafaidika nini na kwa kiwango gani? Akili za Wamatumbi "waswahili" ni shida. Kwa akili tu kabla ya kuja kwa Bw. MO Simba ilikuwa kama kikundi cha tu cha watu kisichokuwa na vision wala mission ya kueleweka, uyu muhindi amejaribu angalau kufanya kitu kinachoonekana.

Kama tunaitaji kukosoa ni ruksa tukosoe uku tukionyesha njia sahihi za kupita na sio makelele tu kama tupo kwenye vijiwe vya walevi. Tumeona Simba imebadilika inalipa mishahara kwa wakati, inasajili wachezaji wazuri angalau kwa ukanda huu, ina wataalamu wa benchi la ufundi na imetoa ajira kwa vijana wengine kwenye engo tofauti za kiofisi. Yote hayo uwezi kusikia wakosoaji walau wakipongeza.

Mimi ninachoona MO Dewji anajaribu kutengeneza taasisi yenye brand ya kueleweka ili baadae aje atengeneze faida ambayo watagawana yeye na wanahisa wenzake ambao watakuwa wanamiliki share. Kitu ambacho ndio lengo la mfanyabiashara yeyote yule, kitu ambacho sio kibaya hata kidogo, ila kwa sasa mtu akisema anafaidi sijui anapata zaidi ni uongo mkubwa na mtu wa dizaini iyo hajui biashara. Biashara ya mpira kwenye nchi maskini kama hii ambayo haina miundombinu ya mpira wala mazingira rafiki ya uwekezaji wa mpira ni ngumu kufanikiwa. Ndio maana wafadhili wengi wa vilabu vya Simba and Yanga wa zamani waliishia kufilisika tu. Washabiki wa nchi hii wanajaa mechi moja wakikutana watani. Hata mapato yanayopatikana hapo ukichunguza asilimia kubwa yanaenda kwenye taasisi za serikali, na timu zinabaki na chini ya asilimia 30 tu. Sasa hapo ni mwehu tu anaweza kusema kuna faida.

Kuhusu biashara ya jezi nayo ni utata mtupu washabiki wengi wanavaa jezi feki, ambazo mapato yake yanaishia kwa wanjanja wa kikinga hapo kariakoo. Hakuna udhibiti na serikali ipo kimya. Nafikiri kuliko kumkosoa MO kwa kumuita majina mabaya na kumtuhumu ebu tumpe ushirikiano wa mawazo ili walau tuone tutafika wapi. Maana kiukweli hizi timu kubwa zikisimama vizuri zitainua soka la nchi hii kwa asilimia kubwa.
 
Mawazo ya watu kama wewe ndo turufu ya mwamedi!
Kama unaona mawazo ya mwenzako ni hayana umuhimu, ebu toa mawazo yako ambayo yatakuwa bora zaidi. Hoja hupingwa kwa hoja sio virungu na vihoja, usikalie kubishana tu ili kufurahisha nafsi yako maana hapa "uonekani wala kujulikana" toa hoja za kujenga ili tujue uwezo wako uenda ukawa na akili na mawazo yako yakawa chanya yakafanyiwa kazi.
 
H
Wengi wanaompinga MO sio kwamba wana uchungu na Simbasc ni watu wanao ona wivu na watengeneza fitna, ni kawaida ya ngozi nyeusi!!! Maana ukiwasikiliza wapingaji wengi hawana mawazo mbadala zaidi ya kejeli na matusi kwa muekezaji!!
Kauli zao ni "Simbasc inaibiwa" muhindi ni mjanja anafaidika sana, hawasemi anafaidika nini na kwa kiwango gani?!!! Akili za wamatumbi "waswahili" ni shida. Kwa akili tu kabla ya kuja kwa bw. MO simbasc ilikuwa kama kikundi cha tu cha watu kisichokuwa na vision wala mission ya kueleweka, uyu muhindi amejaribu angalau kufanya kitu kinachoonekana.
Kama tunaitaji kukosoa ni ruksa tukosoe uku tukionyesha njia sahihi za kupita na sio makelele tu kama tupo kwenye vijiwe vya walevi!! Tumeona simbasc imebadilika inalipa mishahara kwa wakati, inasajili wachezaji wazuri angalau kwa ukanda huu, ina wataalamu wa benchi la ufundi na imetoa ajira kwa vijana wengine kwenye engo tofauti za kiofisi!! Yote hayo uwezi kusikia wakosoaji walau wakipongeza!!
Mimi ninachoona MO Dewji anajaribu kutengeneza taasisi yenye brand ya kueleweka ili baadae aje atengeneze faida ambayo watagawana yeye na wanahisa wenzake ambao watakuwa wanamiliki share!! Kitu ambacho ndio lengo la mfanyabiashara yeyote yule, kitu ambacho sio kibaya hata kidogo, ila kwa sasa mtu akisema anafaidi sijui anapata zaidi ni uongo mkubwa na mtu wa dizaini iyo hajui biashara!! Biashara ya mpira kwenye nchi maskini kama hii ambayo haina miundombinu ya mpira wala mazingira rafiki ya uwekezaji wa mpira ni ngumu kufanikiwa!!! Ndio maana wafadhili wengi wa vilabu vya Simba and Yanga wa zamani waliishia kufilisika tu!! Washabiki wa nchi hii wanajaa mechi moja wakikutana watani!! Hata mapato yanayopatikana hapo ukichunguza asilimia kubwa yanaenda kwenye taasisi za serikali, na timu zinabaki na chini ya asilimia 30 tu. Sasa hapo ni mwehu tu anaweza kusema kuna faida!!
Kuhusu biashara ya jezi nayo ni utata mtupu washabiki wengi wanavaa jezi feki, ambazo mapato yake yanaishia kwa wanjanja wa kikinga hapo kariakoo!! Hakuna udhibiti na serikali ipo kimya!!!
Nafikili kuliko kumkosoa MO kwa kumuita majina mabaya na kumtuhumu ebu tumpe ushirikiano wa mawazo ili walau tuone tutafika wapi!! Maana kiukweli hizi timu kubwa zikisimama vizuri zitainua soka la nchi hii kwa asilimia kubwa.
Hiyo barua ya FCC umeisoma? Au ni mwendo wa kupiga majungu na umbea wa vijiweni.Hoja unezisoma?
 
Tumekuelewa lakn je FCC n waongo au? Tunaipenda timu yetu lakn mo afuate masharti kisha aweke B 20 na kinachonekana kias alichoonesha
kwenye mkataba na FCC n tofauti na anachokisema kwetu kwann afanye hivyo huu mkataba uwekwe wazi tuusome wote moo anataka kutugeuza ss n wajinga
 
Huyu Mwamedi, African Lyon ilimshinda, Singida United akaitelekeza, ningeshangaa angefanikiwa Vijora fc
Vijora FC ni UTOPOLO usibadilishe majina ya timu za watu bila ruhusa.na km hujui kaa kmya. Au umeogelea umechoka akili nazo zikagota.
 
Tarehe 20 October ni juzi tu, sidhani kama inatosha kusema wamekwamisha, huenda kuna kitu hawajasomana
 
Kama unaona mawazo ya mwenzako ni hayana umuhimu, ebu toa mawazo yako ambayo yatakuwa bora zaidi?!! Hoja hupingwa kwa hoja sio virungu na vihoja!!! usikalie kubishana tu ili kufurahisha nafsi yako maana hapa "uonekani wala kujulikana" toa hoja za kujenga ili tujue uwezo wako uenda ukawa na akili na mawazo yako yakawa chanya yakafanyiwa kazi.
ungejikita kujibu hoja za tume hapo juu, ungeisaidia sana klabu ya simba
 
Tumekuelewa lakn je FCC n waongo au? Tunaipenda timu yetu lakn mo afuate masharti kisha aweke B 20 na kinachonekana kias alichoonesha
kwenye mkataba na FCC n tofauti na anachokisema kwetu kwann afanye hivyo huu mkataba uwekwe wazi tuusome wote moo anataka kutugeuza ss n wajinga
Unajua wengi mnataka kuyapeleka mambo kimiemko kuliko kiuhalisia!! Hao watu wa FCC wametoa taarifa yao na ukiisoma vizuri bado na wao kuna pahara wanajichanganya!! Tukirudi kwenye suala la uwekezaji, hapa watu wengi ndio wanajichanganya!! Wengi hawajui maana ya uwekezaji?!! na MO hapa ndipo alipowachanganya waswahili, maana kabla ya MO kutangaza kutaka kuweka hizo bilion 20, Simbasc ilikuwa sio taasisi ya kibiashara!! Ndio maana akasema anawekeza kununua asilimia fulani za hisa!! Lengo lake simbasc itakapo badilika na kuwa taasisi ya kibiashara ikatimiza vigezo vyote ndipo atakapo "wekeza"hizo pesa ambazo kimsingi ni zake!! Hata ikitokea ameziweka leo kesho akataka kuzitoa anaweza kuzitoa kwa kufuata utaratibu wa kuuza hisa zake na kurudisha pesa!!
 
Mimi nadhani ukiwachagua viongozi ,maana yake unawaamini. Kuna mambo wanayafanya kwa niaba ya klabu, na si kila kitu wanapaswa wakujulishe, maana mengine yanaweza yakatuiwa vibaya na maadui. Kwa sasa nadhani washabiki wahoji zaidi matokeo ya mpira uwanjani. Hayo ya kiutawala wengi (si wote) hwayafahamu kwa undani, inabidi warahisishiwe kwanza
 
Unajua wengi mnataka kuyapeleka mambo kimiemko kuliko kiuhalisia!! Hao watu wa FCC wametoa taarifa yao na ukiisoma vizuri bado na wao kuna pahara wanajichanganya!! Tukirudi kwenye suala la uwekezaji, hapa watu wengi ndio wanajichanganya!! Wengi hawajui maana ya uwekezaji?!! na MO hapa ndipo alipowachanganya waswahili, maana kabla ya MO kutangaza kutaka kuweka hizo bilion 20, Simbasc ilikuwa sio taasisi ya kibiashara!! Ndio maana akasema anawekeza kununua asilimia fulani za hisa!! Lengo lake simbasc itakapo badilika na kuwa taasisi ya kibiashara ikatimiza vigezo vyote ndipo atakapo "wekeza"hizo pesa ambazo kimsingi ni zake!! Hata ikitokea ameziweka leo kesho akataka kuzitoa anaweza kuzitoa kwa kufuata utaratibu wa kuuza hisa zake na kurudisha pesa!!
Wengi wanaompinga MO sio kwamba wana uchungu na Simbasc ni watu wanao ona wivu na watengeneza fitna, ni kawaida ya ngozi nyeusi!!! Maana ukiwasikiliza wapingaji wengi hawana mawazo mbadala zaidi ya kejeli na matusi kwa muekezaji!!
Kauli zao ni "Simbasc inaibiwa" muhindi ni mjanja anafaidika sana, hawasemi anafaidika nini na kwa kiwango gani?!!! Akili za wamatumbi "waswahili" ni shida. Kwa akili tu kabla ya kuja kwa bw. MO simbasc ilikuwa kama kikundi cha tu cha watu kisichokuwa na vision wala mission ya kueleweka, uyu muhindi amejaribu angalau kufanya kitu kinachoonekana.
Kama tunaitaji kukosoa ni ruksa tukosoe uku tukionyesha njia sahihi za kupita na sio makelele tu kama tupo kwenye vijiwe vya walevi!! Tumeona simbasc imebadilika inalipa mishahara kwa wakati, inasajili wachezaji wazuri angalau kwa ukanda huu, ina wataalamu wa benchi la ufundi na imetoa ajira kwa vijana wengine kwenye engo tofauti za kiofisi!! Yote hayo uwezi kusikia wakosoaji walau wakipongeza!!
Mimi ninachoona MO Dewji anajaribu kutengeneza taasisi yenye brand ya kueleweka ili baadae aje atengeneze faida ambayo watagawana yeye na wanahisa wenzake ambao watakuwa wanamiliki share!! Kitu ambacho ndio lengo la mfanyabiashara yeyote yule, kitu ambacho sio kibaya hata kidogo, ila kwa sasa mtu akisema anafaidi sijui anapata zaidi ni uongo mkubwa na mtu wa dizaini iyo hajui biashara!! Biashara ya mpira kwenye nchi maskini kama hii ambayo haina miundombinu ya mpira wala mazingira rafiki ya uwekezaji wa mpira ni ngumu kufanikiwa!!! Ndio maana wafadhili wengi wa vilabu vya Simba and Yanga wa zamani waliishia kufilisika tu!! Washabiki wa nchi hii wanajaa mechi moja wakikutana watani!! Hata mapato yanayopatikana hapo ukichunguza asilimia kubwa yanaenda kwenye taasisi za serikali, na timu zinabaki na chini ya asilimia 30 tu. Sasa hapo ni mwehu tu anaweza kusema kuna faida!!
Kuhusu biashara ya jezi nayo ni utata mtupu washabiki wengi wanavaa jezi feki, ambazo mapato yake yanaishia kwa wanjanja wa kikinga hapo kariakoo!! Hakuna udhibiti na serikali ipo kimya!!!
Nafikili kuliko kumkosoa MO kwa kumuita majina mabaya na kumtuhumu ebu tumpe ushirikiano wa mawazo ili walau tuone tutafika wapi!! Maana kiukweli hizi timu kubwa zikisimama vizuri zitainua soka la nchi hii kwa asilimia kubwa.
Wapi FCC wamejichanganya?!
 
Hapa tatizo mambo ya kuungana makampuni ndio issue na FCC ndipo inapoingia ili kulinda ushindani na maslahi ya walaji. Kwenye ushindani nafikiri hamna shida kwa sababu kampuni zinazo ungana hapa hazina ushindani yaani kampuni ya wanachama wa Simba na Kampuni ya Mo,ila tatizo linaonekana lipo kwenye maslahi ya walaji ambao ni wanachama wa Simba na washabiki wa mpira kwa ujumla. Swali linaanza kama hamna merge za kampuni mwenyekiti wa board na CEO wa kampuni ya Tatu wamepatikana vipi?
 
Back
Top Bottom