Ilongailunga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 1,388
- 896
Hivi unadhani Mo na GSM wanafaidika sana na hayo matangazo ukilinganisha na wanachokitoa? Jiulize Vodacom wanadhamini ligi nzima kiasi gani?Mudi 2016: hadi wenzangu wananiuliza nimeweuka ama B20 nyingi
Mudi 2019: msifanye masihala na B20, zinaweza hata kufungua benki
Mudi 2020: Simba ni familia yangu sipo kimasilahi, naipenda sana Simba, Simba nguvu moja
NOTE: Mo Simba Arena, Mo Simba foundation, Barbra, jezi imejaa ma Mo kila mahali