Ilongailunga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 1,388
- 896
Hivi unadhani Mo na GSM wanafaidika sana na hayo matangazo ukilinganisha na wanachokitoa? Jiulize Vodacom wanadhamini ligi nzima kiasi gani?Mudi 2016: hadi wenzangu wananiuliza nimeweuka ama B20 nyingi
Mudi 2019: msifanye masihala na B20, zinaweza hata kufungua benki
Mudi 2020: Simba ni familia yangu sipo kimasilahi, naipenda sana Simba, Simba nguvu moja
NOTE: Mo Simba Arena, Mo Simba foundation, Barbra, jezi imejaa ma Mo kila mahali
Wadaawa ndo kina nani mkuu?
Wa kuuziana jezi? Maana huo ndio mkataba wao rasmi!
Ligi ya bongo ndio simba na Yanga mkuu.Hivi unadhani Mo na Gsm wanafaidika Sana na hayo matangazo ukilinganisha na wanachokitoa? Jiulize Vodacom wanadhamini ligi nzima kiasi gani?
Mbona hausemi usajiri na mishahara?Mudi 2016: hadi wenzangu wananiuliza nimeweuka ama B20 nyingi
Mudi 2019: msifanye masihala na B20, zinaweza hata kufungua benki
Mudi 2020: Simba ni familia yangu sipo kimasilahi, naipenda sana Simba, Simba nguvu moja
NOTE: Mo Simba Arena, Mo Simba foundation, Barbra, jezi imejaa ma Mo kila mahali
Yanayoendelea katika klub yetu hii hata Mangungo asingediriki kukubali lakini kwa sababu watu wametanguliza matumbo acha miaka mitatu baada mahakamani itakuwa ofisi klub.
Ha ha ha ha jezi imejaa ma Mo!Mudi 2016: hadi wenzangu wananiuliza nimeweuka ama B20 nyingi
Mudi 2019: msifanye masihala na B20, zinaweza hata kufungua benki
Mudi 2020: Simba ni familia yangu sipo kimasilahi, naipenda sana Simba, Simba nguvu moja
NOTE: Mo Simba Arena, Mo Simba foundation, Barbra, jezi imejaa ma Mo kila mahali
Mwaka huu huu alisema hawezi shindwa kuweka billion 20Mudi 2016: hadi wenzangu wananiuliza nimeweuka ama B20 nyingi
Mudi 2019: msifanye masihala na B20, zinaweza hata kufungua benki
Mudi 2020: Simba ni familia yangu sipo kimasilahi, naipenda sana Simba, Simba nguvu moja
NOTE: Mo Simba Arena, Mo Simba foundation, Barbra, jezi imejaa ma Mo kila mahali
🤣🤣🤣Nyie Tume hebu tuachieni Simba yetu
Mo Simba Arena, Mo Simba foundation, Mo Energy, Barbra jamaa ndo anapata sana kuliko SimbaMbona hausemi usajiri na mishahara?
Au unataka kutuaminisha kuwa MO anapata zaidi kuliko simba inavyopata kwa Mo?
Anzisha Uzi wake, hapa tunachangia janja janja ya Kanjibai
Gharama za camp na mishahara na usajili unavijua?Mo Simba Arena, Mo Simba foundation, Mo energy, Barbra jamaa ndo anapata sana kuliko simba
20B ni kudanganyia mbumbumbu kwenye vyombo vya habari. Hela halisi ni ndogo sana.Kanjibay mjanja mjanja sana yaani ukisoma hapo no.6 utagundua kiasi kilichopo kwenye mkataba sio hiyo billion 20 inayotajwa mitandaoni.
Mo kazikuta nyasi, kalikuta eneo lipo tayari. Vipi iitwe Mo Simba Arena?Gharama za camp na mishahara na usajiri unavijua?
Miaka mingapi simba imekaa hata uwanja wa kucheza rede hawana ?