rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Kila mpenda maendeleo ya michezo atakubali mfumo uliokuwepo awali ulikuwa unanufaisha watu wachache. Haya yanayotokea sasa hivi yanaweza kuiboresha Simba au kuirudisha nyuma.Ukienda YouTube utaona akina magori na wenzake wamelezea sana, jinsi mchakato ulivyoanza mpaka ulipo, na akaelezea hizo kampuni nani wamiliki na kwanini wao, watekezaji wengine waliojitokeza zaidi ya Mo, kwa kwanini Mo, kwa kweli jamaa wamejieleza vizuri sana, kiasi kwamba wamejibu maswali yote yenye utata mpaka hizo 20b ziko wapi.
Ni interview ya masaa mengi sana na kituo kimoja cha redio sijui tv, ila naona kuna ajenda ya kuitaka simba irudi kule nyuma ili yanga nao wapumue, nilipoiskia hii interview tena walikuja na documents ili kila wanachokisema wakione kwenye hizo documents, sasa hizi blah blah, nilitegemea hao jamaa fcc wangekaa na simba.
tatizo la simba ni records kiasi kwamba unashindwa hata kujua thamani halisi ya klabu ni kiasi gani, maana kwa mujibu wa magori thamani ya simba ilikuwa ndogo sana kutokana na kutokuwa na records, nazani ndio maana sasa hivi wanaanza kujenga hiyo database ya fans na wanachama, kupitia mauzo ya card za mashabiki na wanachama,
Ni vema badala ya kushutumiana nani anakwamisha wakae chini wamalize mjadala maisha yaendelee.