Viongozi ndiyo wanaokwamisha mchakato wa mabadiliko, FCC yatoa taarifa leo. Mashabiki na wanachama wa Simba mtadanganywa hadi lini?

Ukienda YouTube utaona akina magori na wenzake wamelezea sana, jinsi mchakato ulivyoanza mpaka ulipo, na akaelezea hizo kampuni nani wamiliki na kwanini wao, watekezaji wengine waliojitokeza zaidi ya Mo, kwa kwanini Mo, kwa kweli jamaa wamejieleza vizuri sana, kiasi kwamba wamejibu maswali yote yenye utata mpaka hizo 20b ziko wapi.

Ni interview ya masaa mengi sana na kituo kimoja cha redio sijui tv, ila naona kuna ajenda ya kuitaka simba irudi kule nyuma ili yanga nao wapumue, nilipoiskia hii interview tena walikuja na documents ili kila wanachokisema wakione kwenye hizo documents, sasa hizi blah blah, nilitegemea hao jamaa fcc wangekaa na simba.

tatizo la simba ni records kiasi kwamba unashindwa hata kujua thamani halisi ya klabu ni kiasi gani, maana kwa mujibu wa magori thamani ya simba ilikuwa ndogo sana kutokana na kutokuwa na records, nazani ndio maana sasa hivi wanaanza kujenga hiyo database ya fans na wanachama, kupitia mauzo ya card za mashabiki na wanachama,
Kila mpenda maendeleo ya michezo atakubali mfumo uliokuwepo awali ulikuwa unanufaisha watu wachache. Haya yanayotokea sasa hivi yanaweza kuiboresha Simba au kuirudisha nyuma.
Ni vema badala ya kushutumiana nani anakwamisha wakae chini wamalize mjadala maisha yaendelee.
 
Sijajua mgawanyo utakuwaje ila naona hapo wadaawa watakua Simba Sports Club(Ya wanachama), Mo Simba Company Limited(Nadhani ndio ya Mo) na Simba Sports Club Holding Company Limited(Ya nani??) Ambao watafanya muungano(Merger) kutengeneza Simba Sports Club Company Limited (Ndio watakua waendeshaji was Timu) hii ndo ya Barbra sasa

Cc mtu chake tusaidiane hapa
Ninavyojua mimi sasa hivi jina ni simba sport club ambayo inatakiwa iwe Simba Sports Club Company Limited ili iweze kuwa na share na wanachama na kuuza kwa wadau wengine maana kwa sasa hii club ilivyo haiwezi kuwa na share maana sio kampuni.

Kwa simba sport klabu ipo karika kipindi cha mpito ili iwe Simba Sports Club Company Limited ambayo ndio itakuwa na share na wanachama na wawekezaji wengine, maana yake jina la simba spprt club litaacha kutumika mchakato ukikamilika.

Sasa share za Simba Sports Club Company Limited upande wa wanachama zinamilikiwa na Simba Sports Club Holding Company Limited hii ni kampuni ya wanachama ambayo nayo inaviongozi wake, Mo Simba company limited ni ya Mo Dewji au tuseme mmiliki wa hisa zingine hapa wanaweza kuwa wengi hivyo wakiwa wengi kampuni zitakuwa nyingi, ila kwa sasa ni Mo.

Sasa mchakato wa kuibalisha simba sport club kwenda Simba Sports Club Company Limited bado haujakamilika, hivyo hakuna hisa ambazo zimelipwa si za wanachama wala za mwekezaji,

kilichopo sasa hivi ni uongozi umeandaa utaratibu wao Kama club watatokaje kutoka simba sport club kwenda Simba Sports Club Company Limited wakati huo huo wanasubiri taratibu zingine upande wa Serikali. Hii ni lea mujibu wa interview niliyoiona akifanyiwa magori na wenzake, ipo YouTube.
 
"Dugu zagu hivi Mimi wa kushindwa kuweka billion 20 kweli? Kaangalieni Forbes"

Tuliwaambia mbumbmbu mkadhani mwamedi baba enu .

Mtamkumbuka kigwangala
 
Ukienda YouTube utaona akina magori na wenzake wamelezea sana, jinsi mchakato ulivyoanza mpaka ulipo, na akaelezea hizo kampuni nani wamiliki na kwanini wao, watekezaji wengine waliojitokeza zaidi ya Mo, kwa kwanini Mo, kwa kweli jamaa wamejieleza vizuri sana, kiasi kwamba wamejibu maswali yote yenye utata mpaka hizo 20b ziko wapi.

Ni interview ya masaa mengi sana na kituo kimoja cha redio sijui tv, ila naona kuna ajenda ya kuitaka simba irudi kule nyuma ili yanga nao wapumue, nilipoiskia hii interview tena walikuja na documents ili kila wanachokisema wakione kwenye hizo documents, sasa hizi blah blah, nilitegemea hao jamaa fcc wangekaa na simba.

tatizo la simba ni records kiasi kwamba unashindwa hata kujua thamani halisi ya klabu ni kiasi gani, maana kwa mujibu wa magori thamani ya simba ilikuwa ndogo sana kutokana na kutokuwa na records, nazani ndio maana sasa hivi wanaanza kujenga hiyo database ya fans na wanachama, kupitia mauzo ya card za mashabiki na wanachama,
Taasisi ambazo ni regulators kama FCC zinatekeleza masuala yake kwa kutumia miongozo ya kusimamia majukumu yake. Hivyo, ukipeleka suala lako wanapitia hilo suala kwa kuangalia mwongozo unaosimamia suala husika unasemaje. Kama uko nje ya mwongozo unajulishwa issue za kurekebisha. Ndio kilichotokea kwa klabu ya Simba. Kilichosababisha FCC wakatoa tamko ni viongozi Simba wenyewe kuilaumu FCC kuwa inakwamisha mchakato wao wa kuwa kampuni.
 
Ninavyojua mimi sasa hivi jina ni simba sport club ambayo inatakiwa iwe Simba Sports Club Company Limited ili iweze kuwa na share na wanachama na kuuza kwa wadau wengine maana kwa sasa hii club ilivyo haiwezi kuwa na share maana sio kampuni.

Kwa simba sport klabu ipo karika kipindi cha mpito ili iwe Simba Sports Club Company Limited ambayo ndio itakuwa na share na wanachama na wawekezaji wengine, maana yake jina la simba spprt club litaacha kutumika mchakato ukikamilika.

Sasa share za Simba Sports Club Company Limited upande wa wanachama zinamilikiwa na Simba Sports Club Holding Company Limited hii ni kampuni ya wanachama ambayo nayo inaviongozi wake, Mo Simba company limited ni ya Mo Dewji au tuseme mmiliki wa hisa zingine hapa wanaweza kuwa wengi hivyo wakiwa wengi kampuni zitakuwa nyingi, ila kwa sasa ni Mo.

Sasa mchakato wa kuibalisha simba sport club kwenda Simba Sports Club Company Limited bado haujakamilika, hivyo hakuna hisa ambazo zimelipwa si za wanachama wala za mwekezaji,

kilichopo sasa hivi ni uongozi umeandaa utaratibu wao Kama club watatokaje kutoka simba sport club kwenda Simba Sports Club Company Limited wakati huo huo wanasubiri taratibu zingine upande wa Serikali. Hii ni lea mujibu wa interview niliyoiona akifanyiwa magori na wenzake, ipo YouTube.
Hakuna cha maana ulichoandika zaidi ya utumbo
 
Gharama za camp na mishahara na usajili unavijua?

Miaka mingapi Simba imekaa hata uwanja wa kucheza rede hawana ?
Kwan uwanja ni wa simba?? Uwanja ni wa moo utakua wa simba mpaka kampuni ziungane moo akisema Leo bas simba itabid watafute uwanja
 
TAARIFA YA MCHAKATO WA SIMBA KWENDA KWENYEMABADILIKO.

- Tume ya Ushindani (FCC) haihusiki na ucheleweshwaji wa mchakato wa Mabadiliko ndani ya Klabu ya Simba SC kama ilivyoelezwa na viongozi wa Klabu hiyo Siku chache zilizopita.

-Tume ya ushindani Tanzania (FCC) imeuuliza Uongozi wa klabu ya Simba,kulikuwa na uharaka gani wa kuteua Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wakati mchakato wa Mabadiliko haujakamilika..!??

- Katika Taarifa ya Tume (Maelezo Zaidi pichani) imeutaarifu umma kuwa ucheleweshwaji wa mchakato (transformation) wa kubadili mfumo wa uendeshaji wa Klabu ya Simba unatokana na mwitikio hafifu wa kampuni ya Simba Sports Club Company Limited wa kuwasilisha taarifa kamilifu na kwa wakati mbele ya Tume katika kufanikisha uchunguzi Kama ulivyoainishwa Katika Taarifa hiyo.

Updates Tar 20-11-2020

Simba yaijibu Tume ya taifa ya ushindani

View attachment 1630397

View attachment 1630398View attachment 1630745View attachment 1630748View attachment 1630749

NAFASI YA BABRA HAIPO KISHERIA. MO KUNA KITU ANAKITAFUTA
 
Back
Top Bottom