Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Mikataba IPI? Na wapi? Ongea waziwazi sio unafichafucha unamficha nani au unamfichia nanivijana waliopata ajira za mikataba
Fafanua andiko lako limekaa kiudaku udakuPunguzeni ulafi Viongozi wetu
Aongee wazi kifipi wakati kila kitu kipo wazi? Huko zako kwenye tairi la ndege unapigwa na pupe.Mikataba IPI? Na wapi? Ongea waziwazi sio unafichafucha unamficha nani au unamfichia nani
Au nawe ni mmoja wao? Muwasilishaji kawasilisha hili ila kalenga mengi mno ya kipuuzi. Kwa nini mnawasumbua wastaafu kuhusu mafao yao?Mikataba IPI? Na wapi? Ongea waziwazi sio unafichafucha unamficha nani au unamfichia nani
Utulie wewe vijana gani wenye Ajira za mikataba ambao hawajalipwa Pesa zao? Wengine hatujui hizo habari sasa mnapoandika kimafungu mnatutoa mchezoniAongee wazi kifipi wakati kila kitu kipo wazi? Huko zako kwenye tairi la ndege unapigwa na pupe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe wasema hayo? Huko Ngorongoro mzabuni alipewa zabuni ya kujenga makao makuu ya taasisi kwa bilion 9 point kadhaa, wakamnyang'anya wakaja mpa tena yule yule kwa bilion 10 point kadhaa [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Shenzy kabisa mimi
We mbwa utakuwa mmoja waoUtulie wewe vijana gani wenye Ajira za mikataba ambao hawajalipwa Pesa zao? Wengine hatujui hizo habari sasa mnapoandika kimafungu mnatutoa mchezoni
Andika vizuri
Mmoja yupi?We mbwa utakuwa mmoja wao
Aaah mtake radhi mwenzako.We mbwa utakuwa mmoja wao
vijana tupambane kwa kila namna ndrugu zango, inawezekana zaidi kwa bidii, kulalamika sana tuwaachie wavivu πKuna baadhi ya Viongozi wa serikalini Tanzania ni warafi kwelikweli yaani pamoja na kupewa posh na mishahara bado wanajikopesha pesa za miradi zinazotolewa za wafadhiri, Leo imekamilika wiki ya sita toka vijana waliopata ajira za mikataba lakini hawajalipwa chochote zaidi ya kuwapigisha danadana, ama kweli Tanzania ni shamba la bibi na kichwa cha mwenda wa zimu.....