mi nahisi wanaingilia hata upangaji Fraga hata kwenye benchi hayupo shibob pia hayupo waliowataka wamevurunda wanashindwa kufanya sub shabalala timu ya taifa anawekwa benchi na Gadiel Michael lakini huku ndio ana namba
Hili ni tatizo la muda mrefu sana, kocha aliwa na msimamo maisha yake kwenye kazi yanakua magumuNakubaliana na wewe Tshabalala na Gadiel wanafanana kila kitu, kwa mechi kubwa hawa wanatakiwa waanzie benchi. Tshabalala anaongoza kwa kujifunga mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nae mbumbumbu hamna kitu.Sesten Zakazaka,
Klabu za Tanzania ikiwemo na Simba hakuna Kocha ambae ni Manager kwenye benchi la Ufundi Bali kuna Head Coach.
Ukisema Simba ina sajiri bila kufata matakwa ya benchi la Ufundi ni wazi haufahamu kuhusu majukumu ya Head Coach.
Kocha ambae ni Manager kwenye timu ni msimamizi na mwajiri wa benchi zima la Ufundi sambamba na wachezaji..Pia ni msimamizi wa mambo yote ya Ufundi ikiwemo mfumo wa kucheza,falsafa ya timu na aina ya wachezaji watakao tumika kwenye mchezo.Aidha ana husika moja kwa moja kwenye soko la usajiri.
Head Coach ni msimamizi wa mambo yote ya Ufundi ndani ya uwanja.Hana mamlaka ya kuajiri bali ana toa mapendekezo tu ya nani asajiriwe.
Sasa kutoa lawama kwa Simba kufanya usajiri ni kuwakosea heshima Simba,kwa maana wako sahihi kabisa.
Simba kocha wake sio Manager bali ni Head Coach...kwa maana hiyo baada ya msimu kumalizika,Head Coach ana andika ripoti yake ya msimu mzima.
Ripoti hiyo ina kuwa na mambo mengi ikiwemo mapendekezo ya wachezaji gani wasajiriwe na wachezaji gani waachwe.
Kumbuka hayo ni mapendekezo sio maamuzi ya mwisho...!!! Mapendekezo hayo yana pitiwa na kamati ya usajiri kisha kamati ya usajiri ina Fanya upembuzi wa usahihi wa ripoti hiyo.
Kamati ina sajiri kulingana na bajeti yao ya msimu na nini malengo yao kama timu.
Ulaya timu nyingi zina mfumo wa kocha kuwa Manager hivyo ana pewa fungu la usajiri,huku akisimamiwa na Mkurugenzi wa Ufundi wa timu.
Klabu za Tanzania hazina cheo cha mkurugenzi wa Ufundi bali wana kamati za mashindano na kamati za usajiri...hizi ndizo zenye maamuzi ya mwisho kuhusu usajiri...baada ya kupitia ripoti ya kocha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi kabisa mkuuWewe nae mbumbumbu hamna kitu.
Umesema head coach anatoa mapendekezo nani asajiliwe ..
Sasa kwanini hiyo kamati ya usajili isilete hao wachezaji ambao head coach kawataka kwenye ripoti yake?? Nini kinashindikana?
Hiyo kamati unayosema IPO sahihi, inawezaje kuleta wachezaji tofauti na ambao kocha anawataka?. Ukizingatia wale ambao head coach kapendekeza wasajiliwe, anakuwa kashapanga atawatumia vipi na watafit kwenye formation zake..!
Iweje aletewe mchezaji ambaye hajui hata aanze kumtumia vipi??
acha uongo..Hautakiwi kuilaumu Simba pekee...huu ndio mfumo mzima wa Soka letu hata Yanga wana hizi kamati...nenda Mtibwa,Azam Fc.
Alafu sijakubaliana na hoja yako...nimekujibu kwa Fact.
Manchester United hawa mkurugenzi wa Ufundi wana mtu ambae hajuhi mpira Ed woord..huyu ni kama Hans Pope unae msema Simba Je wana mafanikio gani?
Una tambua kama kwamba klabu nyingi tu za ulaya kocha afanyi usajiri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao yanga family na friends of simba walikuwa hawasajiri bali wanatoa pesa kwa ajili ya usajili..Usikariri kaka kuhusu upigaji kwenye klabu.
Yanga kulikuwa na kikundi kinaitwa Yanga Family hawa walikuwa wana Fanya usajili wa timu.Hawa ndio una waitwa wapigaji wakati wewe hata shilingi mia hautoi,unajua kulaumu tu.Simba kulikuwa na Friends Of Simba...ndio hao wakina Hans Pope ambae wewe una sema wapigaji...hawa ni watu wenye pesa zao.
Kuendesha soka ni kazi kubwa sana.
Kuhusu ripoti nimekwambia imebeba mambo mengi sana,hivyo kwenye kamati ya Ufundi kuna undwa na watu wenye utaalamu tofauti tofauti.Mfano Yanga Mshindo Msolla ni Kocha kitaaluma pia ni Dr wa mifungo..Simba Mwina Seif Kaduguda ni Kocha na mwandishi wa habari kitaaluma...sasa hawa watu wana uwezo mkubwa kwenye nyanja hiyo.
Kwa kukusaidia mfumo wa kamati kusajiri hauko Tanzania tu hata nchi nyingi za Afrika kaskazini kama Misri na nyinginezo wana tumia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na MO kua kuna watu pale Simba wana interest zao na wala hawako pale kwa ajili ya clubKwenye usajili wa dirisha kubwa Simba ilitakiwa iongeze wachezaji watatu tu mshambuliaji mmoja asili mwenye uwezo sawa na Kagere au zaidi yake, kiungo mkabaji mkata umeme mwenye roho mbaya mwenye uwezo wa hali ya juu wa kupora mipira na kipa mahiri. Matokeo yake ikapoteza sehemu ya uti wa mgongo wa timu kwa kuondoka Okwi, Kotei, Gyan na Niyozima halafu wakaletwa wabrazili. Sasa leo wanatafutana uchawi wakati wamejiloga wenyewe. Ila ndio Simba ndio zao waliwahi kumuacha Hamis Tambwe akiwa anaongoza ufungaji bora halafu wakamsajili Nserekuma.