Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
- Thread starter
- #21
Tutaishia kulaumu kila kocha anayekuja kumbe viongozi ndio tatizoWamejaza wachezaji wa aina moja kibao..........ndiyo maana timu haina plan B
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutaishia kulaumu kila kocha anayekuja kumbe viongozi ndio tatizoWamejaza wachezaji wa aina moja kibao..........ndiyo maana timu haina plan B
Acha tuendelee kupiga mtori,nyama tutazikuta chiniTutaishia kulaumu kila kocha anayekuja kumbe viongozi ndio tatizo
Si bado inaongoza ligi
Wamejaza wachezaji wa aina moja kibao..........ndiyo maana timu haina plan B
Tambala mbovu,
Naona unakubaliana na hoja yangu kwa namna ingine.Huoni kama huo mfumo ndio unaolea tatizo la kusajili wachezaji wasio na uwezo? Kwasababu unatoa mianya kwa watu wasio na ujuzi kuingilia kazi za kocha
Simba kwa mfano kamati ya usajili yupo mtu kama Zakaria Hanspop!!! Hana ajualo kuhusu mifumo n falsafa ya timu wala mbinu zozote za ndani ya uwanja. Sasa atawezaje kuitafsiri ripoti ya mwalimu kuhusu mahitaji ya kiufundi ya timu ikiwemo aina ya wachezaji hata kama kapelekewa kwenye ripoti ya kocha? Wanachofanya wanahudhuria mechi za Simba na wakiona mchezaji anawasumbua kwa chenga basi wanafanya mazungumzo na timu yake au yeye mwenyewe na kisha wanamsajili na kumpelekea mwalimu
Utaratibu huu kwanza unatoa mianya ya kufanya ufisadi maana kwanza hauna checks and balances. Mwalimu anapotoa pendekezo kwamba mchezaji fulani asiuzwe au asitolewe chakushangaza inakaa kamati ya ma layman na kuamua aondoke! Sasa timu ikiwa na pengo kwenye nafasi hiyo mtamlaumu kocha?
Nina hakika kama kocha angepewa nafasi ya kumuona akicheza au kumfanyia majaribio Mmozambique angekua na opinion nyingine kufuatana na mahitaji ya kiufundi ya timu, mfumo autakao, uwezo au mapungufu ya wanaocheza nafasi hiyo na pengine hata umbile tu na kimo cha mchezaji mwenyewe
Hautakiwi kuilaumu Simba pekee...huu ndio mfumo mzima wa Soka letu hata Yanga wana hizi kamati...nenda Mtibwa,Azam Fc.
Alafu sijakubaliana na hoja yako...nimekujibu kwa Fact.
Manchester United hawa mkurugenzi wa Ufundi wana mtu ambae hajuhi mpira Ed woord..huyu ni kama Hans Pope unae msema Simba Je wana mafanikio gani?
Una tambua kama kwamba klabu nyingi tu za ulaya kocha afanyi usajiri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tuendelee kupiga mtori,nyama tutazikuta chini
Huyu anakuja kukaa benchi au kumyima namba kiungo mwingine wa nje, na akifit na mfumo basi kuna proo mwingine wa kukatw, Shangaa kukataa kumuongezea ela Kotei na kurudia rudia yaleyale
Huwezi kuelewa kama ushabiki umekutawala zaidi......team haina plan B.....huwezi kuwa unaongoza goli 2 ukabaki na style ileile ya kuchezaUna fahamu maana ya falsafa kwenye timu? Usikariri mzee...niambie plan B ya Barca ni IPI?....tuna takiwa kuangalia falsafa ya timu..Je timu ina cheza kwenye msingi wa falsafa yake? Tusilaumu wakati Simba ndio timu ambayo imefunga magoli mengi na imefungwa machache kuliko timu zote..ina ongoza ligi.Sasa tuna taka plan B kwenye jambo gani? Timu chini ya kocha mpya imecheza michezo mingap na imefungwa mingap? Mpira ni takwimu...mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gazeti lote hili la nini mkuu?Kocha wa Simba Uchebe ameachishwa kazi kwa sababu nyingi.Uzuri klabu ilizungumia kwenye mkutano mkuu wa klabu.
Moja utovu wa nidhamu wa kocha,kuondoka bila kuaga na kwenda South Africa.
Pili baada ya kulejea nchini aliitwa na uongozi kuongelea suala hilo la utovu wa nidhamu aligoma kuongea na mwajiri wake ambae ni CEO wa klabu.
Tatu ni kushindwa kusimamia mwenendo wa klabu kwa upande wa wachezaji,na hivyo baadhi ya wachezaji uwezo wao ulianza kushuka kwa kasi sana.
Mfano kiwango cha Kahata kilikuwa chini sana tofauti na sasa,Chama alishuka ghafla uwezo wake...Kwa sasa ameanza kulejea kwenye uwezo wake.
Hivyo basi naomba tuwe wafatiliaji wa taarifa kwa usahihi.Epuka sana kutoa lawama ambazo hazina ukweli wake.
Yanga alimuachisha kazi Zahera na walikuwa na sababu nyingi sana.
Lakini wachambuzi uchwara wana toa lawama kwa Yanga.
Una jiuliza lini kocha amewahi kuwa juu ya uongozi? Ni Zahera pekee ambae alianza kuwa juu ya uongozi,yani mwajiriwa ana taka kuwa juu ya mwajiri.
Tusiwe tuna toa lawama tujenge hoja mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli Sven hamjui Luis. Kumbuka Mozambique ndiyo iliyoinyima nafasi Zambia Ku qualify Afcon 2019 kwa kuichapa 1 - 0 mechi zote 2, home and away na Sven akiwa kocha mkuu Zambia na Luis akichezea Mozambique.Wakati kocha anasalimiana naye picha wakati wa utambulisho,kishingo alikuwa anamshangaa mchezaji maana hajawahi kumuona na mchezaji anamshangaa kocha.
Mikia acha waitwe mikia tu
Mzamiru alichemka, huwezi kumuacha mtu anajiandaa kupiga shuti bila bugdha yoyoteVery reasonable argument.Lakini kumbuka Kotei basically ni mkata umeme, inawezekana hakua na vitu viingi sana uwanjani ila alikua hafanyi makosa kama lile la Mzamiru la kumuachia Balama achukue mpira kirahisi na apige shuti lililozaa goli
Ni kweli pia huko alikokwenda hana uhakika wa namba, lakini yote inategemea na mifumo na aina ya wachezaji aliowakuta na aina ya ligi na ushindani, ila kwa Simba alikua anahitajika na mwalimu alilisema wazi
Japo kweli ni kiungo lakini ana vitu tofauti sana na viungo karibu wote wa Simba, jamaa ana pace sana na uwezo mkubwa wa kupunguza walinzi, kwa kweli atatusaidia japo sipingi kuwa tunahitaji mshambuliaji makini.Nina hakika kama kocha angepewa nafasi ya kumuona akicheza au kumfanyia majaribio Mmozambique angekua na opinion nyingine kufuatana na mahitaji ya kiufundi ya timu, mfumo autakao, uwezo au mapungufu ya wanaocheza nafasi hiyo na pengine hata umbile tu na kimo cha mchezaji mwenyewe
Japo magoli ya Yanga yalifungwa haraka sana, ndani ya dakika tano hivi, nadhani baada ya goli la pili la Simba na hasa baada ya Deo Kanda kuumia wangemuingiza mtu kama Nyoni ambaye angeweza kucheza nyuma ya akina Mkude ili kupunguza presha ya Yanga.Huwezi kuelewa kama ushabiki umekutawala zaidi......team haina plan B.....huwezi kuwa unaongoza goli 2 ukabaki na style ileile ya kucheza
Magna Carta Jamei Kotei yeye ndio aligoma kuongea mkataba baada ya kupata timu Afrika ya Kusini.Hivyo aligoma kusaini klabu ya Simba.Emmanuel Okwi yeye alitoa masharti ya kucheza kwanza Afcon kisha ndio asajiri Simba,lengo lake lilikuwa ni kusubiri ofa za mawakala wengi ambao wana fatilia Afcon.
Mwisho hakuna mchezaji ambae alikatwa bila sababu.Kuna tofauti ya kukatwa na mchezaji kugoma kusaini baada ya mkataba kuisha.
Kwa kuwa wewe ni mdau wa soka najua wajua kuhusu jambo hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie Kotei nilikuwa simkubali pale ambapo katika pasi kumi anazopiga mbili tu ndo zinaenda kwa mchezaji mwenzake. Uliza kama anapata namba huko aliko kabla hujalalamika.
Sent using Jamii Forums mobile app