CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Mhasibu akisema Nan wakumpinga.Yanga kwa ushirikina stori kama hizi sishangazi. Walishafanya soka kama uadui, hawawezi kushindwa hili
Ukoo wenu ni kazi Sana kumiliki akili.Kuna mafala wa upande wa pili wamegawana majukumu, kuna kundi moja liko Mafia, Morogoro na Zanzibar kuiharibia Simba jumapili ili wao jmosi wakipita watucheke na mji tuuone mchungu.
Kundi la kwanza ni lao wenyewe linalopambana kuhakikisha kesho wanafuzu baada ya miaka kibao kuishia njiani na kweli wamechafua sana mazingira kwa ajili ya mchezo wa kesho.
Viongozi wa Simba, saa hizi ni mbaya, kufuru lifanyike hata kama kunitoa kafara mie ili jumapili tufuzu niko tayari, chonde chonde Viongozi, mji tunautaka huu kuendelea kuishi, hawa malofa wanafanya haya mambo kimya kimya, wanakuja had kwenye mazoezi yetu wanaokota mchanga na nyasi wanazipeleka kwa wataalamu wao ambao wamehifadhiwa Chanika.
Tusimuamini mtu, msiwaone wanaongelea yao, Leo nimewaona baadhi ya wachezaji na Viongozi wao wakiipelekwa Chanika kupewa 'vijiti' vya kutumaliza kesho, tusipojihadhari wanaweza kutupiga bao 1 0 au 2 1.
Mjumbe hauawahi, kama nadanganya au natafuta Kiki sawa lakini chukueni tahadhani, tunataka furaha t jumapili.
Kauli ya Rage inaendelea kuishi.Kuna mafala wa upande wa pili wamegawana majukumu, kuna kundi moja liko Mafia, Morogoro na Zanzibar kuiharibia Simba jumapili ili wao jmosi wakipita watucheke na mji tuuone mchungu.
Kundi la kwanza ni lao wenyewe linalopambana kuhakikisha kesho wanafuzu baada ya miaka kibao kuishia njiani na kweli wamechafua sana mazingira kwa ajili ya mchezo wa kesho.
Viongozi wa Simba, saa hizi ni mbaya, kufuru lifanyike hata kama kunitoa kafara mie ili jumapili tufuzu niko tayari, chonde chonde Viongozi, mji tunautaka huu kuendelea kuishi, hawa malofa wanafanya haya mambo kimya kimya, wanakuja had kwenye mazoezi yetu wanaokota mchanga na nyasi wanazipeleka kwa wataalamu wao ambao wamehifadhiwa Chanika.
Tusimuamini mtu, msiwaone wanaongelea yao, Leo nimewaona baadhi ya wachezaji na Viongozi wao wakiipelekwa Chanika kupewa 'vijiti' vya kutumaliza kesho, tusipojihadhari wanaweza kutupiga bao 1 0 au 2 1.
Mjumbe hauawahi, kama nadanganya au natafuta Kiki sawa lakini chukueni tahadhani, tunataka furaha t jumapili.
Ndio huyo huyo mpuuzi mmoja.Kuna watu wanaiga uwasilishaji wa GENTAMYCINE ukitaka kujua vzr msome
1979Magufuli
Cognizant
MINOCYCLINE
Rage apewe heshma yakeKuna mafala wa upande wa pili wamegawana majukumu, kuna kundi moja liko Mafia, Morogoro na Zanzibar kuiharibia Simba jumapili ili wao jmosi wakipita watucheke na mji tuuone mchungu.
Kundi la kwanza ni lao wenyewe linalopambana kuhakikisha kesho wanafuzu baada ya miaka kibao kuishia njiani na kweli wamechafua sana mazingira kwa ajili ya mchezo wa kesho.
Viongozi wa Simba, saa hizi ni mbaya, kufuru lifanyike hata kama kunitoa kafara mie ili jumapili tufuzu niko tayari, chonde chonde Viongozi, mji tunautaka huu kuendelea kuishi, hawa malofa wanafanya haya mambo kimya kimya, wanakuja had kwenye mazoezi yetu wanaokota mchanga na nyasi wanazipeleka kwa wataalamu wao ambao wamehifadhiwa Chanika.
Tusimuamini mtu, msiwaone wanaongelea yao, Leo nimewaona baadhi ya wachezaji na Viongozi wao wakiipelekwa Chanika kupewa 'vijiti' vya kutumaliza kesho, tusipojihadhari wanaweza kutupiga bao 1 0 au 2 1.
Mjumbe hauawahi, kama nadanganya au natafuta Kiki sawa lakini chukueni tahadhani, tunataka furaha t jumapili.
Waliowasha moto Afrika Kusini ilikuwa ni Yanga ipi?Yanga kwa ushirikina stori kama hizi sishangazi. Walishafanya soka kama uadui, hawawezi kushindwa hili
🤣🤣🤣Kumbe mnalijua hili zezeta, anaaamini sana ushirikina kwenye mada zake, Ile ya gentamicine ndo mara chache hua inajibu comments kwa kiasi kidogo hz zingn hua hareply, kbsNdio huyo huyo mpuuzi mmoja.
Na kama mpira ni uwekezaji tu basi Azam angekuwa anakuwa bingwa wa TPL kila mwaka. Mpira wa Kiafrika ni zaidi ya uwekezaji.Acha ushirikina mpira ni uwekezaji sio uganga. Kama mpira ni mambo ya uganga basi waganga watupu wangeunda timu yao kila mwaka wawe wanachukua ubingwa.
Hivi Chama (Simba) na Aziz Ki (Yanga) walipewa adhabu kipindi kile kwa sababu zipi? Musimu ile mnaingia uwanjani kwa kupitia milango isiyo rahisi ilikuwa ni nini hicho kama siyo ushirikina?Ulishawahi kuona au kusikia Yanga inafanya upuuzi kama huu hadharani hadi kufikia kulipishwa faini na CAF?huko kwenu hadi michezaji inarogana na inapata uzoefu kutokana kuona viongozi wenu wakiamini huu upumbavu kwenye karne hii ya 21,match yenu ya ligi dhidi ya coast kapombe kakataa mkono wa mwenda wakati walipofanyiwa sub,match ya tanga dhidi ya Yanga mkavunja nazi mbele ya bank eti masharti ya mganga!
Huwezi kuwa "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" halafu Watu ( Members ) hapa JamiiForums wasipende kuwa kama Kiboko Yao na Mfalme wa Uwasilishaji wa Kipekee wa Masuala ( Mada Mtambuka ) GENTAMYCINE Mimi.Kuna watu wanaiga uwasilishaji wa GENTAMYCINE ukitaka kujua vzr msome
1979Magufuli
Cognizant
MINOCYCLINE
Binadamu ana akili sana lakini binadanu huyohuyo ni mvivu wa kufikiriKuna mafala wa upande wa pili wamegawana majukumu, kuna kundi moja liko Mafia, Morogoro na Zanzibar kuiharibia Simba jumapili ili wao jmosi wakipita watucheke na mji tuuone mchungu.
Kundi la kwanza ni lao wenyewe linalopambana kuhakikisha kesho wanafuzu baada ya miaka kibao kuishia njiani na kweli wamechafua sana mazingira kwa ajili ya mchezo wa kesho.
Viongozi wa Simba, saa hizi ni mbaya, kufuru lifanyike hata kama kunitoa kafara mie ili jumapili tufuzu niko tayari, chonde chonde Viongozi, mji tunautaka huu kuendelea kuishi, hawa malofa wanafanya haya mambo kimya kimya, wanakuja had kwenye mazoezi yetu wanaokota mchanga na nyasi wanazipeleka kwa wataalamu wao ambao wamehifadhiwa Chanika.
Tusimuamini mtu, msiwaone wanaongelea yao, Leo nimewaona baadhi ya wachezaji na Viongozi wao wakiipelekwa Chanika kupewa 'vijiti' vya kutumaliza kesho, tusipojihadhari wanaweza kutupiga bao 1 0 au 2 1.
Mjumbe hauawahi, kama nadanganya au natafuta Kiki sawa lakini chukueni tahadhani, tunataka furaha t jumapili.
Ila huyo mwamba angejua hapo kuna backup id yako kwenye list yake ambayo iko pending id hii ikiwa kwenye ban hiyo inaendelea kuleta burudani 😀Huwezi kuwa "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" halafu Watu ( Members ) hapa JamiiForums wasipende kuwa kama Kiboko Yao na Mfalme wa Uwasilishaji wa Kipekee wa Masuala ( Mada Mtambuka ) GENTAMYCINE Mimi.
Asante Mola kwa Kunibariki na Vingi.
Brother sijaandika hzo ID kwa bahati mbaya niamini 100% zote ni za kwakeIla huyo mwamba angejua hapo kuna backup id yako kwenye list yake ambayo iko pending id hii ikiwa kwenye ban hiyo inaendelea kuleta burudani 😀
MBUMBUMBU WANA ROHO NGUMUwacha woga wewe...leo hii yanga mbovu,yenye watu wawili tu wenye akili ndo wakuitishia simba taifa kubwa!!!