Viongozi Simba time is over tuwe makini, kuna msaada unafanyika kwa Power Dynamo ili tuadhalilike j2

Viongozi Simba time is over tuwe makini, kuna msaada unafanyika kwa Power Dynamo ili tuadhalilike j2

Simba wanashida aisee mashabiki wake wengii wanaamini shiriki kutwa kulalama kurogwa kama vile mpira wanaweza kumbe pila lao bovuuuuu papatu papatu la ugoko ,fumua dochi ,Kaa mbele ya kipa kumziba, kuonga marefa jitu ata likisimama mbele kama imamu anaendesha ibada akuna offside, wakichezewa kiatu kidogo kudeka DEKA na kusingizia kuwa campaign wametumwa wawaumize acheni malalamiko andaeni timu yenu vizuri, leteni wachezaji wazuri, punguzeni safari za kusafirisha madawa uturuki mtafika mbali
 
Back
Top Bottom