kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Viongoz au matajiri wengi wapo kwenye risk kubwa kiafya pale magonjwa yanapoingia au Hali ya hewa inapobadilika kuliko maskini.
Kinyume chake yawezekana maskini ni wengi na wakipatwa na majanga hakuna anayesambaza habari zao ila tajiri au kiongoz akiondoka Dunia inajua.
Viongozi wengi tulionao awamu ya Tano na Sita siyo Wacha Mungu Bali niwaumini wa madaraka zaidi. Wapo tayari kuua au kukalia kimya mauji kunusuru vibarua vyao. Ukiwa na viongoz wa aina hii kwenye TAIFA lenye waombaji wa kweli Kwa Mungu basi upo uwezekano Mwenyenzi Mungu akawajaribu aidha Kwa kifo, maradhi au mambo mbalimbali. Natambua COVID imekuwa Moja ya jaribu kubwa kwao na hakuna Mwenye kujua kama kipindi kilichopo Mbele YETU Nani ataondoka Nani atabaki.
Kwa kuwa hatujui saa Wala nyakati nichukue fursa hii kumwomba kiuongozi wa nchi awafungue wafuasi wake kwenye utumwa wa madaraka. Atangaze Kwa dhati kuhusu maridhiano, awape Uhuru wakutubu nakujiandaa kumsubiri Mwenyenzi, awasaidie wasaidizi wake waweze kufunguliwa kwenye adhabu inayotokana na MATENDO Yao. Namwomba Sana atamke neno chama kipone na wananchi warudi kwenye maridhiano. Vitamasha vya machifu vinavyoandaliwa aviwezi kuleta upatanisho , watakula na kucheka nakutumia pesa ya umma ila miyoyo Yao imejaa chuki na maumivu yaliyopelekwa kwao na viongoz kama Muro na Sabaya.
Unapomteua spika halafu viongoz wa chama wakapuuza uteuzi wa chama na wakashindwa hata kupongeza usidhani Hawa watu niwamoja, wanasaka tonge. Kwa mifano hii yatosha kusema maendeleo yanaletwa na watu siyo kiuongozi. Tangaza Sasa kuliponya TAIFA tuondokane na mkono wa chuma pale maombi ya waumini mbalimbali yatakapopokelewa Mbinguni.
Nimewiwa kuyasema haya Naamini miyoyo michache itapona na kuondoka sumu , TUNACHUKIANA ADHARANI NA KUCHEKEANA ADHARANI,TUMEKUWA POPO