Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Viongozi wa Africa sijui development ya brain zao zilikuwa ni tofauti za binadamu wa kawaida au. Sio Kenya wala Tanzania , angalau Kagame anawazidi by far.
Kwa mfano Tanzania tuna deni kubwa la taifa, lakini expenditure za viongozi zimeongezeka ambazo hizo expenditure sio za muhimu.
Kwa mfano, niliona msafara wa Majaliwa , ndinga kama 25 hivi zipo nyuma yake , same to Biteko, njoo kwa Samia, ndinga nyingi.
Safar za nje za viongozi wa serikali ni nyingi, posho zao , ukija bunge posho zao ni unnecessary. Ukiangalia kwa mapana utagundua viongozi wa Africa brain intelligence yao ipo chini sana , wanachojua ni kuomba na kukopa. Yaani mtu anaitwa waziri wa fedha kwa skills za kukopa badala ya kutoa skills za ku convert resources tulizonazo into cash .
Kuwasilisha bajeti tu , mtu anasindikizwa na ndinga 30, just kuwasilisha makaratasi.
system ya Museveni ya cost minimization , kwenye msafara wake anakuwa na gari tatu tu na hizo gari mnatembea nazo kwenye foleni humo humo hakuna mambo ya kupisha misafara , angalau huyu anajielewa.
Mawaziri wa kagame wanalipia gharama za mafuta na magari wanayopewa ni ya kawaida, ukitaka gari bora unajinunuliwa.
Mimi naamini ngozi nyeusi ina shida somewhere, ipo shida mahali na hata wazungu wanajua hilo