The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Katika kitu ambacho huwa hela inatumika vibaya ni misururu ya magari. Matendo Yao siyo mazuri ndo maana hawajiamini kutembea huru kwani wanaumiza wengi. Hata mkuu wa wilaya/mkoa utashangaa magari hayo
Check Rais wa Ufaransa na waziri mkuu Denmark wanavyojiachia huku wakipishana na Raia bila wasiwasi.
Ingekuwa bongo shughuli zote zingesimama kuwapisha viongozi.
Check Rais wa Ufaransa na waziri mkuu Denmark wanavyojiachia huku wakipishana na Raia bila wasiwasi.
Ingekuwa bongo shughuli zote zingesimama kuwapisha viongozi.