The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Umecheck lakini wanavyopishana na Raia?Rais wa France alishalambwa makofi Mara 2 na wananchi wake.
Kwa hii Ni mzoefu wa kupigwa huyo.
Wanatufundisha kitu kikubwa sana.. Wa kwetu hata IST hawawezi kupanda! Mmoja aliziita gari za kikeKatika kitu ambacho Huwa hela inatumika vibaya ni misululu ya magari.
Matendo Yao siyo mazuri ndo maana hawajiamini kutembea huru kwani wanaumiza wengi
Hata mkuu wa wilaya/mkoa utashangaa magari hayo
Check raisi wa ufaransa na waziri mkuu Denmark wanavojiachia huku wakipishana na Raia bila wasiwasi.
Ingekuwa bongo shuguli zote zingesimama kuwapisha viongozi.
View attachment 2487017
Ajabu sana. Africa hii ujinga mwingiWanatufundisha kitu kikubwa sana.. Wa kwetu hata IST hawawezi kupanda! Mmoja aliziita gari za kike
Imagine hapo hao wameokoa bei gani
Prime minister wa Sweden Olof yeye walimuua kwa kisu barabarani sababu aliishi kama ordinary person.Umecheck lakini wanavyopishana na Raia?
Kuhusu kpigwa Kofi vichaa wapo tu Hata mwinyi alipigwa Kofi
Ya hii ni kweliHiyo safari yao walipofika sehemu za mataa wao walisubiri ingekua zile Nchi za kusadikika hata wakiwa mazoezini taa hazifanyi kazi wanapita wao kwanza...
Na hayo magari kwenye msafara mrefu tumeomba kama hawa jamaa! Lazima tufunguke wandugu.Katika kitu ambacho huwa hela inatumika vibaya ni misururu ya magari. Matendo Yao siyo mazuri ndo maana hawajiamini kutembea huru kwani wanaumiza wengi. Hata mkuu wa wilaya/mkoa utashangaa magari hayo
Check Rais wa Ufaransa na waziri mkuu Denmark wanavyojiachia huku wakipishana na Raia bila wasiwasi.
Ingekuwa bongo shughuli zote zingesimama kuwapisha viongozi.
View attachment 2487017