Tman900 JF-Expert Member Joined May 30, 2017 Posts 969 Reaction score 3,071 Mar 27, 2025 #1 Tukisema Tubadilishane, Viongozi hivi, Hawa Viongozi wetu wakienda Ulaya, Je maendeleo yataendelea kuwepo au yatakufa.
Tukisema Tubadilishane, Viongozi hivi, Hawa Viongozi wetu wakienda Ulaya, Je maendeleo yataendelea kuwepo au yatakufa.
Whackiest JF-Expert Member Joined Sep 13, 2020 Posts 1,379 Reaction score 1,930 Mar 27, 2025 #2 Yatakuwepo mkuu sababu hizi .Tayari kuna msingi wa uongozi .Wanamawazo mazuri ila huku waliko wanakosa uthubutu wakufanya maamuzi kwa sababu ya woga Mbili tuu zinatosha naachia page waje
Yatakuwepo mkuu sababu hizi .Tayari kuna msingi wa uongozi .Wanamawazo mazuri ila huku waliko wanakosa uthubutu wakufanya maamuzi kwa sababu ya woga Mbili tuu zinatosha naachia page waje