Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuandamane tulirudishe AZIMIO LA ARUSHA eee?!! [emoji1787][emoji1787]Wachina wanaofanyakazi, wanakusanya Kodi na kulinda Kodi kwa nguvu zao zote. Mhujumu ananyongwa. Je, Africa watu wao wanafanyakazi, kukusanya kodi na kulinda Kodi ya wananchi wao?
Msaada wa kitabu hicho kwenye mfumo wa soft copy tafadhari kama unacho.Tuandamane tulirudishe AZIMIO LA ARUSHA eee?!! [emoji1787][emoji1787]
Nimemsoma sana MAO TSE TUNG japo mimi si mkomunisti ila jamaa na compatriot wake waliamua kweli kweli.....
Kijitabu chake cha "Juu ya Vita virefu" huwa nakirudia kila mwaka.....
Hakika TUKIAMUA tunaweza japo mazingira yao nasi ni tofauti sana kwani CHINA ilipigana vita vya muda mrefu sana na majirani zao JAPAN waliokuwa mbali KITEKNOLOJIA kuliko wao....kwa ajili ya kujikomboa kutoka "kutwezwa nguvu nao".....
#Nchi Kwanza[emoji2956]
#Tanzania tuko FOCAC [emoji441][emoji450][emoji449]
Nina hard copy mkuu wangu nilipewa na babu toka niko 14 yrs oldMsaada wa kitabu hicho kwenye mfumo wa soft copy tafadhari kama unacho.
Ukipata muda mkuu andaa Uzi wa mambo ya msingi ndani ya kitabu hicho,ambapo taifa letu linaweza tumia kwa manufaa ya leo na baadaye.Nina hard copy mkuu wangu nilipewa na babu toka niko 14 yrs old
Ooo nimekupata mkuu....Ukipata muda mkuu andaa Uzi wa mambo ya msingi ndani ya kitabu hicho,ambapo taifa letu linaweza tumia kwa manufaa ya leo na baadaye.
Mchina kawaita ili atengeneze connection zake hilo la kujifunza ni changa la macho tuu.. Mchina hana kazi ya hasaraWachina wanaofanyakazi, wanakusanya Kodi na kulinda Kodi kwa nguvu zao zote. Mhujumu ananyongwa. Je, Africa watu wao wanafanyakazi, kukusanya kodi na kulinda Kodi ya wananchi wao?
Bara la Afrika limekombolewa miaka 60+ iliyopita lakini viongozi wetu wanajiona bado wachanga, hawataki kuwajibika, wanawaza matumbo yao na ya watoto wao baaasi. Kifupi ni wezi na hawakusanyi kodi, wanawaza chaguzi tu.Tuandamane tulirudishe AZIMIO LA ARUSHA eee?!! [emoji1787][emoji1787]
Nimemsoma sana MAO TSE TUNG japo mimi si mkomunisti ila jamaa na compatriot wake waliamua kweli kweli.....
Kijitabu chake cha "Juu ya Vita virefu" huwa nakirudia kila mwaka.....
Hakika TUKIAMUA tunaweza japo mazingira yao nasi ni tofauti sana kwani CHINA ilipigana vita vya muda mrefu sana na majirani zao JAPAN waliokuwa mbali KITEKNOLOJIA kuliko wao....kwa ajili ya kujikomboa kutoka "kutwezwa nguvu nao".....
#Nchi Kwanza[emoji2956]
#Tanzania tuko FOCAC [emoji441][emoji450][emoji449]
Tumedandanywa sana na siasa za kidemokrasia na haki za binadamu kaka, hatutatoka tulipo. Magufuli ndiye ambae alikuwa anataka kuelekea upande huo wa akina Mao. Bila sera ngumu ambazo hazikuandikwa popote serikali isingehamia dodoma hadi kesho, tusengejenga SGR na bwawa kubwa la umeme, tusingesambaza umeme nchi nzima hadi vijijini kabisa kwa kasi ile.Ooo nimekupata mkuu....
Nitaanza kuandaa mkuu wangu shukran[emoji7]
Jamaa wana mengi mazuri "though through hard ways"....
Hakika Mao alitumia "nguvu" kusimamisha siasa za kupinga ubwanyenye na umangimeza....ikumbukwe kulikuwa na chama kingine chenye nguvu ambayo kilikuwa na "sera laini" kidogo....
Kwa kizazi chetu cha sasa kilichokuwa "brainwashed" na "propaganda za kiliberali" ni ngumu kuelekea uelekeo HUO kwani ni "sacrifice" haswa....kubeti na kupoteza muda na silly&petty issues IG watamwachia nani ? [emoji1787]
JPM alikuwa na mwelekeo mzuri....kilichomuangusha HAKUSOMA VYEMA nyakati na alikuwa na siasa za "pupa kidogo"...ilitakiwa "aende kidokidogo" halafu awaachie wengine mnyororo ule ule....mama yetu atatuinua ila ni kazi kufikia walipo wachina....jamaa *walitoana KAFARA....leo vizazi vinaogelea NEEMA hiyo...[emoji1787][emoji1787]
Nani kasema wanakwenda kujifunza? Mimi nitaamini hivyo kama wakirudi na ku'develop' nchi zao, maana matatizo ya Afrika yanasababishwa kwa kiasi kikubwa na viongozi wao ambao hawajifunzi mambo mazuri ya yanayofanyika katika nchi mbalimbali duniani. Kwa kweli viongozi wetu wanatuangudha sana!Wachina wanaofanyakazi, wanakusanya Kodi na kulinda Kodi kwa nguvu zao zote. Mhujumu ananyongwa. Je, Africa watu wao wanafanyakazi, kukusanya kodi na kulinda Kodi ya wananchi wao?
Haya mambo hatuyawezi kuanzia ngazi za kifamilia, seuze nchi.Wachina wanaofanyakazi, wanakusanya Kodi na kulinda Kodi kwa nguvu zao zote. Mhujumu ananyongwa. Je, Africa watu wao wanafanyakazi, kukusanya kodi na kulinda Kodi ya wananchi wao?
wanachofeli ni namna ya kufikiria kimataifa na kutenda kinyumbani kutoka na kufirikiria kimataifa. Huwezi kutanguliza demokrasia na haki za minadamu kama wewe unataka kuondokana na umaskini. Marekani na ulaya wanapora demokrasia na haki na watu wengine ili kunufaisha watu wao, na watu wao hakuna asiyelipa kodi hata mmoja akabaki salama. Hata nyumbani kwako kama ukiingiza demokrasia na haki za wanafamilia hakuna mtoto atakwenda shule, atafagia na kuosha vyombo, na mama kukupikia kila siku na kufua nguo.Mtaitwaje?
Yaani Kama bosi anavyosema " njooni ofisini kwangu'
Kagame hawezi kwenda kwenye huo mkutano.
Kama Museveni amekwenda ataishia kusinzia tu. Ally Bongo atakwenda lakini hatajua Kama amekwenda.