Pre GE2025 Viongozi wa bodaboda Arusha wasema wana mashaka na Gambo sakata la Milioni 400

Pre GE2025 Viongozi wa bodaboda Arusha wasema wana mashaka na Gambo sakata la Milioni 400

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Baada ya mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda kuele mbunge Mrisho Gmbo ahojiwena TAKUKURU kuhusu upotevu wa Ths. Milioni 400 zilizochangwa na wadau kwa ajili ya kusaidia bodaboda.

Hatimaye viongozi wa boda boda na wao wamaeeleza kuwa wana mashaka na Gambo kwenye upotevu wa pesa hizo na kwamba Gambo anataka kuwagawa kisiasa wao kama bodaboda.

Wameonesha pia kumpongeza Makonda kwa kuingilia sakata hilo ambalo wamekuwa wakilifuatilia kwa takribani miaka minne.

Soma pia: Pre GE2025 - Arusha: RC Makonda aiagiza TAKUKURU kumhoji Mrisho Gambo upotevu wa Tsh. Milioni 400 zilizochangwa na wadau kwa ajili ya kusaidia bodaboda
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Maigizo ya Makonda huwa yamekaa kitoto sana. Miaka minne hakuna Bodaboda aliyejitokeza hadharani kuongea.
 
Nakumbuka kauli ya Mh.Lema juu ya bodaboda.
Ona sasa uthibitisho huu
 
Back
Top Bottom