Huwa naamin Congo pasingekuwa na ma vita yao..pangekuwa na viwanja bora sana na hata kombe la mataifa ya Afrika yangekuwa tayari hata yameshafanyika..Yanagimbania mapato tu majizi makubwa. Viwanja virudishiwe halmashauri, zivikodishe kwa wawekezaji period. Sisiem ni majambazi Mbuzi
Sijui kinachowakwamisha nin..?Ni aibu mkuu ila wao hawajari,viwanja vingeboreshwa hata vijana wengi wangejitoa na kuona umuhimu wa kucheza soka la kulipwa
Mbuzi uko sahihi sana. Ule msemo wa penye miti hapana wajenzi siupendi kabisa, umekaa kinafiki sanaHuwa naamin Congo pasingekuwa na ma vita yao..pangekuwa na viwanja bora sana na hata kombe la mataifa ya Afrika yangekuwa tayari hata yameshafanyika..
Yaan ukiangalia nchi zilizotuzunguka kimpira sisi mazingira yana tupendelea sana kuwa bora na kuwavutia waje kucheza hapa...
Na iwe hivyo amiina vipewe halmashaur kuwajibika kuvitunza..Viwanja vingi vya michezo nchini ni mali ya Watanzania! Ni kwa bahati mbaya sana ccm wamevikwapua kinyemela.
InshaAllah ipo siku atatokea Kiongozi Mzalendo, na atakubaliana na wadau wa michezo kuviweka chini ya usimamizi wa Halmashauri zetu.