Kwa miaka kadhaa CHADEMA ilikuwa ikipakaziwa tuhuma hasi za Udini, Ukanda na Ukabila. Uchaguzi wa chama mwaka huu angalau ukafuta hoja hizo baada ya kina Lisu na Henche kushika nafasi.
Hii tabia walioanzisha kina Hilda viongozi wanatakiwa kukemea na kujitenga nayo. Watu smart wanajenga hoja na sio kuropoka kuonesha una chuki na dini fulani. Katika kukemea yanayoendelea tumesikia kina Bagonza, Gwajima, Kitima etc wakikemea kwa hoja na wala huoni wakiingiza Udini.
Hata Lisu mwenyewe aliwahi kusema hasemi Rais ni mwizi sababu ya Uislamu wake (akimaanisha sio issue ya dini ya mtu).
Sasa hawa ambao wanatakiwa kuendelea ku influence watu wanaanza kuongea lugha za utengano hawaoni kuwa wanakosea? Ni uwezo mdogo wa kujenga hoja? Nakumbuka Mertin naye wakati wa Ramadhan alitaka kuanzisha mada hizi ila baadaye aligundua si sahihi na alijirudi kwa busara.
Viongozi wa CHADEMA waendelee kukemea kwa nguvu suala hili. Hilda anauongelea vibaya Uislamu akimaanisha viongozi Waislamu waliopo kwenye chama hicho hawafai? Mtu kama huyu chama kinategemea siku moja kimpe nafasi ya uongozi na awaongeze watu wa dini zote kwa haki? Hawezi