Udini si mzuri, chama ni cha watu wa dini zote hata wasio na dini. huyo Hilda kasemaje kuhusu waislamu?Kwa miaka kadhaa CHADEMA ilikuwa ikipakaziwa tuhuma hasi za Udini, Ukanda na Ukabila. Uchaguzi wa chama mwaka huu angalau ukafuta hoja hizo baada ya kina Lisu na Henche kushika nafasi.
Hii tabia walioanzisha kina Hilda viongozi wanatakiwa kukemea na kujitenga nayo. Watu smart wanajenga hoja na sio kuropoka kuonesha una chuki na dini fulani. Katika kukemea yanayoendelea timesikia kina Bagonza, Gwajima, Kitima etc wakikemea kwa hoja na wala huoni wakiingiza Udini. Hata Lisu mwenyewe aliwahi kusema hasemi Rais ni mwizi sababu ya Uislamu wake (akimaanisha sio issue ya dini ya mtu).
Sasa hawa ambao wanatakiwa kuendelea ku influence watu wanaanza kuongea lugha za utengano hawaoni kuwa wanakosea? Ni uwezo mdogo wa kujenga hoja? Nakumbuka Mertin naye wakati wa Ramadhan alitaka kuanzisha mada hizi ila baadaye aligundua si sahihi na alijirudi kwa busara.
Viongozi wa CHADEMA waendelee kukemea kwa nguvu suala hili. Hilda anauongelea vibaya Uislamu akimaanisha viongozi Waislamu waliopo kwenye chama hicho hawafai? Mtu kama huyu chama kinategemea siku moja kimpe nafasi ya uongozi na awaongeze watu wa dini zote kwa haki? Hawezi
Kwani Hilda ana cheo gani chadema? Chadema ni chama Cha democrasiaKwa miaka kadhaa CHADEMA ilikuwa ikipakaziwa tuhuma hasi za Udini, Ukanda na Ukabila. Uchaguzi wa chama mwaka huu angalau ukafuta hoja hizo baada ya kina Lisu na Henche kushika nafasi.
Hii tabia walioanzisha kina Hilda viongozi wanatakiwa kukemea na kujitenga nayo. Watu smart wanajenga hoja na sio kuropoka kuonesha una chuki na dini fulani. Katika kukemea yanayoendelea tumesikia kina Bagonza, Gwajima, Kitima etc wakikemea kwa hoja na wala huoni wakiingiza Udini.
Hata Lisu mwenyewe aliwahi kusema hasemi Rais ni mwizi sababu ya Uislamu wake (akimaanisha sio issue ya dini ya mtu).
Sasa hawa ambao wanatakiwa kuendelea ku influence watu wanaanza kuongea lugha za utengano hawaoni kuwa wanakosea? Ni uwezo mdogo wa kujenga hoja? Nakumbuka Mertin naye wakati wa Ramadhan alitaka kuanzisha mada hizi ila baadaye aligundua si sahihi na alijirudi kwa busara.
Viongozi wa CHADEMA waendelee kukemea kwa nguvu suala hili. Hilda anauongelea vibaya Uislamu akimaanisha viongozi Waislamu waliopo kwenye chama hicho hawafai? Mtu kama huyu chama kinategemea siku moja kimpe nafasi ya uongozi na awaongeze watu wa dini zote kwa haki? Hawezi
Gwajima ana kanisa dogo haliwezi kuitibua amani ya Tanzania.Ni kweli mno hoja yako, lakini anapouliwa Padri Kitima huku wanaomtetea Makanisa yao yanafungwa ndipo mambo haya hujitokeza, kwa vile binadamu moyo wao si wa chuma ni vigumu sana kuvumilia haya
Mihemko Iko juu sana mzeeKwani Hilda ana cheo gani chadema? Chadema ni chama Cha democrasia
Tofautisha opinions na misimamo ya chama!!
Chadema maazimio yake utoka kwa press release shule mnasoma Nini ndugu?
Leo umemuona yule mollel bungeni anaongea ushuzi tu kwani ndio msimamo wa CCM?
Hebu tuwe tunatofautisha mawazo binafsi na mawazo ya kitaasisi itatusaidia kuchambua mambo!!.