lengo la ndani kabisa ya haya yote ni kukionesha CDM ni Chama cha Demokrasia ya Mauaji(CHADEMA)"haya ndio malengo makuu ya ule mkakati uliokwama kufanyika huko Nyololo-Iringa. LILE BOMU LILIPANGWA KULIPULIWA KATIKA UMATI MKUBWA WA M4C, TUMSHUKURU MUNGU MPANGO MKAKATI WAO ULIKWAMA". Walitaka kujenga hoja ya kuwa CHADEMA ni magaidi.
NB. Haya ni maoni na mawazo yangu kwani hainiingii akilini kuamini lile lilikuwa bomu la machozi!
lengo la ndani kabisa ya haya yote ni kukionesha CDM ni Chama cha Demokrasia ya Mauaji(CHADEMA)
Ni kama walivyowahi kujenga hoja kuwa CUF kilikuwa chama cha kigaidi...
Ni kama walivyowahi kujenga hoja kuwa CUF kilikuwa chama cha kigaidi...
na usishangae matukio yote haya ccm wakayatumia kama nguzo ya kampeni 2015 kama CDM itakuwa bado haijafutwa!
Mkakati wao hauna mashiko, utashindwa!
Wanataka kuendeleza danganya toto yao!
Kipindi kile viliingizwa visu kutoka China vyenye rangi za CUF,
safari hii msishangae zikiingizwa bastora zenye nembo ya CDM...
unaweza ukashindwa kwa wananchi lakini kwa mujibu wa msajili wa vyama atakifuta chama chenye kuleta machafuko, sa sijui ataanza na CCM ama CDM!tusubiri tuone
Unajua siasa ya hapa bongo ni kama kucheza game ambapo ktk kuvuka level moja kwenda nyingine unakutana na ugumu wake na unapokaribia kuwin game (final level) game ndo inakuwa ngumu zaidi ya zile zilizotangulia. CUF walijaribu kucheza game mpaka level ya kuitwa chama cha kidini na cha kigaidi na kuzushiwa wameleta kontena la visu. Katika propaganda hizo CUF wakashindwa kustaimili hizo changamoto wakaanguka na sasa hawana mwelekeo. Kwasasa game inachezwa na CHADEMA na tumefanikiwa kuvuka level zote mpaka ya propaganda ya chama cha udini, ukabila na ukanda lakini hatujayumba na sasa tuko FINAL LEVEL ambayo ni ngumu kuliko zote na inahitaji kumkabidhi Mungu roho zetu na maisha yetu yeye pekee ndo mlinzi wetu kwani watawala wamekuwa wafalme hawataki na hawakotayari kuachia ufalme na kuwa watawaliwa, ndio maana wameamua LIWALO NA LIWE, mpango mzima ni kutuua mmoja baada ya mwingine ili kudhoofisha nguvu tuliyonayo na hatimaye waendelee kutawala milele. Tusikate tamaa Makamanda, tusiogope, tusichoke kupigani ukombozi wa taifa letu kutoka mikononi mwa mkoloni mweusi ccm na policcm yake, hatua tuliyofikia ndo ya mwisho tunapata ushindi na tunachukua nchi. HAKUKUNA SILAHA YOYOTE DUNIANI ILIYOWAHI KUISHINDA NGUVU YA UMMA. MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI CHADEMA NA WAFUASI WAKE.
CHADEMA HAIWEZI KUFUTWA HATA KIDOGO! Mabadiliko yaja kwa kasi ya ajabu!
Well,mabadiliko sawa lakini sio kwa cost ya damu za watu. Mpenda demokrasia wa kweli atajiepusha na chochote kile ambacho anajua mwisho wake ni kumwaga damu ya mwenzake. Lakini kwa chadema hili linaonekana sio tatizo,as long as Slaa and Mbowe wako safe!
Chukua hii kutoka kwa Slaa "Wajulishe polisi wako waandae risasi za kutosha, mabomu ya kutosha maana mtakuwa na karamu ya mauaji na kisha kusherehekea, mjiandae kwa kwenda mahakama ya The Hague