Viongozi wa CHADEMA kikaoni na IGP kwa R.P.C Iringa

Viongozi wa CHADEMA kikaoni na IGP kwa R.P.C Iringa

big up kwa both polisi na cdm, huo ndo uungwana.
Wanaozungumza hawagombani.
 
Will this Round table bring to an end the regular Police fracas to kill the inocent Tanzanians, the poor and the needy ,otherwise i doubt Chademas move to seat with this thugs,bandits Tanzania Police
 
Agenda nzuri ni
1)Kulipiza visasi kwa Makamanda wa policcm, hasa wanapokuwa Bar au nyumba ndogo
2)Kulipiza visasi kwa Mama/Baba zao, Wake/Waume zao, Kaka/Dada zao ikishindikana basi na watoto zao
3)kuwatafuta kila kona kuanzia madukani, nyumba za ibada, mashuleni na kuwakata visu na kuacha alama ya ccm
Nimeipenda hii maanake hao ni vibaka tu!! wanahitaji mob justice:
Tuwawinde majambazi wanaoitwa Polisi Mabwepande!!
 
Siku chache zilizopita walizungumza na huyo saidi matokeo yake polisi wakamuuwa mwangosi, sitegemei la maana hapo. Polisi hawahitaji vikao na cdm ili wabadilike, cdm itawafanya waache kupokea amri za makada?
 
CHADEMA wanaongozwa na Dkt. Slaa upande wa Jeshi la Polisi wanaongozwa na IGP Said Mwema, almost 4 agendas on table, polisi wameomba kufanyike roundtable meeting for now...tume yao haijaanza kufanya kazi yet.

Why now??????
I needed Mwangosi to report the joint press conference of such magnitude. I know those are pointless wishes, but if you can answer me "why now" then you'll your viewstand and opinions thereafter.
 
Agenda nzuri ni
1)Kulipiza visasi kwa Makamanda wa policcm, hasa wanapokuwa Bar au nyumba ndogo
2)Kulipiza visasi kwa Mama/Baba zao, Wake/Waume zao, Kaka/Dada zao ikishindikana basi na watoto zao
3)kuwatafuta kila kona kuanzia madukani, nyumba za ibada, mashuleni na kuwakata visu na kuacha alama ya ccm
Wewe kichaa utakuwa umepatia ukubwani, sio cha kuzaliwa nacho.
 
so what..!somebody has dead,their meeting will help to bring him back??
how much are they goin to be paid for just this meeting which they have created,i mean seating allowance per head??
tuanze na slaa n igp,mana hapo lazma wadai posho ya kikao hao
hovyo kbs,,,

Kaka njoo tuition ya Kiingereza Buguruni Rozana. Hapa chini nimeweka tafsiri isiyo rasmi kwa wasio-waswahili ili angalau wajue ulichokusudia kuandika.

So what? If somebody is dead, will their meeting help to bring him back?
How much are they paid per head (for a meeting of their own creation anyway)?


Uache kuvamia lugha za watu na hicho Kiingereza chako cha Sekondari na Vyuo vya Kata.
 
Majadiliano baada ya kuua!!!!,Tume ya haki zabinadamu ifutwe Tanzania kwa maana haifanyi kazi yake na badala yake inafumbia macho maovu yanayotendwa na vyombo vya dola
 
Tumaini Makene,
Mbona unaripoti habari kienyeji hivyo...vipi tena Dr.Slaa si alisema hawezi tena kukaa meza moja na jeshi la polisi hana imani nalo.
 
Last edited by a moderator:
Hicho kikao kilitakiwa kijumuishe ndugu wa marehem na uongozi wa waandishi wa habari wa mkoa wa Iringa!
 
Dr Slaa amkumbushe Mwema kuwa jana Vice President alikuwa Bububu kufungua campaign za CCM kwa vifijo, nderemo na taarab. Amri ya vyama vya siasa kutofanya mikutano ya hadhara wakati wa sensa inahusu vyama vipi?
 
Diplomasia inatumika baada ya kuharibu mambo...ingekuwa inatumika kuweka mambo sawa hii Tanzania tungeweza kutofautisha wapumbavu na wenye akili. Kwasababu ya kukosa hekima ni ngumu sana kutofautisha...namkumbuka mwalimu wangu aliyekuwa anapenda kuhimiza "Don't urge with a fool because people might not notice the difference".

Let's be tour guide, msemo wa MMM wa siku nyingi, tuangalie wanakokwenda, if they think they can fetch and read our mind, they would be completely wrong, on this case specifically and any other. Mtu makini hujaribu kuwa extra miles ahead of...msiogope, stand firm fighting for the destiny...
 
Hakuna haja ya tume picha zina muonyesha polisi akimupiga risasi mwandishi........na hiyo tume hatuitaki iundwe policcm walioua tunataka tume huru......Dr.slaa namwamini hatalegeza...mwema ni kada wa ccm anakifanya sio maslai ya wananchi ni ccm
mkuu sio risasi ni bomu.....tume ya nn wakati picha zipo wazi hapo ni kukamata tu wahusika
 
Kama IGP mwenyewe anashiriki kikao hiki basi ni dalili kuwa polisi wanakiri kuhusika na kifo cha Mwangosi na sasa wanataka kujikosha!
 
Dr. Slaa na CDM kwa ujumla tunataka baada ya hapo mtoe tamko kama vipi tuanze kupambana wenyewe
 
Makene! Huko ulipo ujue tunakutegemea kwa news zote ya hapo!

Usichoke Kamanda wetu!
 
Back
Top Bottom