Wamunzengo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 810
- 321
Please makene naomba Dr amueleze kinaga ubaga huyo MWEMA jinsi anavyokikandamiza CHADEMA kwa kisingizio cha SENSA wakati FIESTA inakusanya watu wengi inaruhusiwa na inapewa ulinzi na POLISI.
Ndio maana Lowassa anawaambia Elimu kwanza, mmekomalia kilimo kwanza. Mkuu, Shule kwanza,kujua kubofya kibodi na shule ni vitu viwili tufauti....Tumaini Makene,
Mbona unaripoti habari kienyeji hivyo...vipi tena Dr.Slaa si alisema hawezi tena kukaa meza moja na jeshi la polisi hana imani nalo.
Tungoje matamko baada ya kikao tutajuwa nani ni wakorofi.
hivi fiesta imekusanya watu jana usiku hadi saa 3 na wakalindwa na polisi
walikokuwa wanafungua tawi mchana kweupe wao wanaathiri zoezi la sensa lakini fiesta haiathiri
kweli watanzania tunafanywa kama majuha.
makene ubairikiwe baba tujuze zaidi kinachojiri huku katika duru za kikao hicho.
JF raha sana kuna vituko, tamko kujua nani mkorofi? anyway hakuna mkorofi. so what?Tungoje matamko baada ya kikao tutajuwa nani ni wakorofi.
CHADEMA wasikubali kubembelezwa wala kughibiwa kwa kigezo cha kulinda masalahi ya taifa. haki itendeke kwanza kwa kuwakamata polisi waliohusika then round table ifuate. Mwema hapo katumwa na JK na anakuja kupooza hizo habari ili wananchi wasijue ukweli. Naomba hapa iwe nafasi ya kuganga vidonda na machungu yoote waliyoisababishia CHADEMA kuanzia Arusha 2011, morogoro juzi na Iringa kwa Mwangosi. Mkijidai kuingia kwenye makubaliano tu mjue kesho kutwa mabomu mengine mnayo ni bora hapo mtoke draw mkijua hakuna makubalino yatakayofanya polisi waache kuwapiga mabomu ni bora muwasema mtoke bila makubaliano kwani kukubaliana na kutokubaliana yote ni sawa.
IGP Mwema be careful you are talking to Mr President!!!!!!
Hao ma-rpc wa mikoa husika lazima washitakiwe kwa mauaji la napendekeza ICC ijulishwe na ngo ya haki za binadamu iliyomsaidia Dr ulimboka. La roho za watu zitazidi kupotea bure
.
Hakuna haja ya tume picha zina muonyesha polisi akimupiga risasi mwandishi........na hiyo tume hatuitaki iundwe policcm walioua tunataka tume huru......Dr.slaa namwamini hatalegeza...mwema ni kada wa ccm anakifanya sio maslai ya wananchi ni ccm
Hakuna haja ya tume picha zina muonyesha polisi akimupiga risasi mwandishi........na hiyo tume hatuitaki iundwe policcm walioua tunataka tume huru......Dr.slaa namwamini hatalegeza...mwema ni kada wa ccm anakifanya sio maslai ya wananchi ni ccm
Agenda nzuri ni
1)Kulipiza visasi kwa Makamanda wa policcm, hasa wanapokuwa Bar au nyumba ndogo
2)Kulipiza visasi kwa Mama/Baba zao, Wake/Waume zao, Kaka/Dada zao ikishindikana basi na watoto zao
3)kuwatafuta kila kona kuanzia madukani, nyumba za ibada, mashuleni na kuwakata visu na kuacha alama ya ccm
bahati mbaya marehemu hatatoa utetezi wake.