Viongozi wa CHADEMA kukodi Ndege binafsi kuhudhuria Sherehe za uhuru wa Tanganyika ni matumizi mabaya ya fedha za ruzuku

Vipi huyu nae kesha panda ndege?View attachment 1288581
Hata mimi pia sijawahi kupanda ndege, ila kwa sasa nina watoto zaidi ya wanne (4) wanasoma bure shule za Sekondari. Unadhani huyu mzee, hata kama hajawahi kupanda ndege, anaweza pia asiwe na watoto wa aina kama wangu? Au hata ndugu zake wa karibu wa aina hiyo? Kama anao, basi hela inayopatikana kwenye ndege inamfikia kwa njia hiyo. Kumbuka mambo mawili makubwa kuhusiana na manunuzi ya ndege, kwamba Serikali hawanunui ndege ili:
1. KILA MTANZANIA LAZIMA APANDE

2. MAPATO YANAYOPATIKANA KUTOKANA NA BIASHARA HIYO, FEDHA YAKE IGAWIWE MOJA KWA MOJA KWA KILA MTANZANIA, HAPANA SI HIVYO

Serikali imenunua ndege ili manufaa ya ndege hizi yaweze kuwafikia wa-Tanzania walio wengi kwa mfumo kama huo nilioueleza hapa, na si kwa njia hizi mbili tajwa hapa chini.
 

Adha ya maji Songea na hawa nao ni wahamahamaji kama wa loliondo?
CCM haina lengo la kuondoa umasikini zaidi ya kununuwa watu kutoka upinzani kwa mbwembwe.
 
Hayaishi yote kwa siku moja, na kwa sababu phase hii ya 2015-2020 tumejikita zaidi kwenye miundo mbinu kama vile barabara na reli, naamini 2021-2025 hili nalo litaisha. Naamini kuanzia 2026 litakuwa historia, pamoja na swala la maji! Lakini unaona pia watu wanavyopata tuhuma za wizi wa fedha za Serilaki? Wameshagundua Serikali ina hela nyingi na hivyo sasa hivi wanaiba sana, halafu bahati nzuri wanakamatwa tena
 
Kujikita mpaka kiama?!...safari hii lazima mng'oke ili tuone wapinzani nao, yaani tokeaa uhuru mmejikita tu hizo ni blah!blah! tu.
Demokrasia inaruhusu kabisa, unaweza kuwang'oa ila ukiwang'oa tafadhali fanya hayo unayotamani kuyafanya. Ukishindwa kuwang'oa hakikisha pia unawapa pressure ili wayatekeleze. Ni ya msingi kabisa na uko sahihi.
 

Elimu bure! look ccm imejikita katika kutengeneza wajinga ili iendelee na ulaji wake.
 
Kuna wimbo unasemq kumuelewesha chizi unajipa kazi

State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tembeeni vifua mbere"by mkuu wa nchi
 
Mwaka gani huo ,porini maana hao wanaishi kwenye hifadhi ambako huwezi kutwngenezea miundombinu ya kudumu maana hao huhamahama

State agent

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa ni vikatuni kweli kweli huwa wanachagua picha mbaya ndio wanaziweka humu, huwezi kukuta wameweka picha za watoto waliokalia madawati mapya, huwezi kukuta wameweka picha za zahanati mpya na zenye vitanda vipya na visafi, zao ni siasa za bei ndogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…