state agent
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 1,764
- 2,510
Mwaka gani huo ,porini maana hao wanaishi kwenye hifadhi ambako huwezi kutwngenezea miundombinu ya kudumu maana hao huhamahama
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
State agent
View attachment 1289552
Wakazi wa Loliondo wakichota maji kwenye dimbwi ambalo wanachangia na wanyama mwitu
Chakushangaza wakati wa kikombe viongozi wote wa ccm waliishia huko
Sent using Jamii Forums mobile app