Viongozi wa CHADEMA kukodi Ndege binafsi kuhudhuria Sherehe za uhuru wa Tanganyika ni matumizi mabaya ya fedha za ruzuku

Viongozi wa CHADEMA kukodi Ndege binafsi kuhudhuria Sherehe za uhuru wa Tanganyika ni matumizi mabaya ya fedha za ruzuku

Picha za zamani unazileta leo kupinga ununuzi wa ndege mbowe amewalipia mahali bei gani tuwakomboe

State agent
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] umepoteza kabisa mjadala
Ninyi mumezoea kushikiwa akili mkifinywa kidogo tu network zinawapotea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chama cha mapinduzi kina hulka ya kuwa kimbilio la wajinga
Ila huyu mleta mada ni mjinga wa level ambayo sijawahi kuishuhudia katika siku za hivi karibuni
 
Vipi mbowe anayekuongoza alilata zero huyu ihungo secondary school na unamnyenyekea kama mmeo

Vipi sugu la saba, msigwa form two, lema form two hao ndio mabwana zako

State agent
Chama cha mapinduzi kina hulka ya kuwa kimbilio la wajinga
Ila huyu mleta mada ni mjinga wa level ambayo sijawahi kuishuhudia katika siku za hivi karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndege ndio vyanzo imara

State agent

Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali ina Wataalam na maono yake. Tuna Rais na maono yake, Tuna washauri wa Rais. Naikiri wanachofanya wanachunguza kabla. huwezi toa service bila ya kupata income. Tukiwa na maji nchi nzima mpaka vijiji kote lakini serikali haina income tutaonekanaje. Au unafikiri china hakuna tatizo la maji hata sehemu moja? Unafikiri India yote ina Maji? Uongozi ni mgumu ndugu yangu
 
Nkubaliana na tafiti za twaweza kwamba wengi waliojazana CCM % kubwa hawana elimu ya kutosha na wachumia tumbo.

Hivi Chadema walivyosema hatutaki ndege walimaanisha kwamba ndege sio lazima? Kumbuka kazi ya upinzani ni kuikosoa serikali kwa ujinga wanaofanya, Upinzani walisema kwasasa serikali kununua ndege sio muhimu maana kwa tz hatuna shida wa usafiri wa ndege, makampuni kibao yana ndege za kukodi na pia za abiria zinatua nchini, serikali kutapakanya zaidi ya trilioni 2 kununua ndege wakati dar tu watu wanakunywa maji ya matope? dar tu kuna sehemu umeme haujafika? Dar tu kuna barabara hazipitiki kipindi cha mvua coz barabara hazina hata kiwango cha moramu.

Katika hiyo picha Bombadier/Airbus/Dreamliner sio muhimu na ndio maana wao wamekodisha ndege binafsi na kuweza kufika mwanza,kama unaona nongwa basi kwanini usipendekeze wangeenda kwa miguu ili kubana matumizi ili tuone hata VX nazo sio muhimu?
 
Serikali ina Wataalam na maono yake. Tuna Rais na maono yake, Tuna washauri wa Rais. Naikiri wanachofanya wanachunguza kabla. huwezi toa service bila ya kupata income. Tukiwa na maji nchi nzima mpaka vijiji kote lakini serikali haina income tutaonekanaje. Au unafikiri china hakuna tatizo la maji hata sehemu moja? Unafikiri India yote ina Maji? Uongozi ni mgumu ndugu yangu
Sasa china wakiwa na shida za maji ndio unataka na sie tuwe na shida ya maji wakati tuna vyanzo vya maji kibao? We fikiria wakazi wanaoishi jirani tu na ziwa victoria hawana maji huo si ujuha? Tz ukichimba tu mita kadhaa unapata maji ya kutosha,kukosa maji kwa TZ ni uzembe wa serikali....Mapato ya nchi wanawekeza kuja kufanyia siasa na kununua wapinzani basi,wewe mnamuonga lipumba bili 3 ili aunge mkono juhudi si umbwiga huo? Bilioni 3 vijiji vingapi wangepata maji?
 
ask not what your country can do for you, ask what you can do for your country ? (john f. kennedy). Kama ni Mita chache kwa nini tusijisaidie wenyewe ili serikali ikafanya yaliyo makubwa?
 
Back
Top Bottom