Viongozi wa CHADEMA kukodi Ndege binafsi kuhudhuria Sherehe za uhuru wa Tanganyika ni matumizi mabaya ya fedha za ruzuku

Weka ushahidi wa kwamba wametumia pesa za chama!
Hivi nikikuita mpumbavu wewe na huyo kigogo sijui ntakuwa nakosea?

Hivi nje na ruzuku ya chama hao hawana pesa zao binafsi? Hawana mshahara ambao ni jasho lao? Hawana vyanzo binafsi vya mapato?
Mtakufa kwa wivu badilikeni bhana mnakera khaa!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kigogo is nonsense, alisema jiwe yuko mahututi, kumbe rubbish, leo analeta uharo tena!
Ni mpuuzi sana
Sasa walitaka waende vipi?
Huyu ni wale wenye roho za uharibifu visasi udanganyifu nk
Ni debe tupu
Asijifanye yeye ndio anajua kila kitu
 
M
Mbona CCM nao hufanya hivyo pia?
 

Punguza hisia za uvyama, mambo yaliyowazi ni kuwa Chadema walienda Mwanza kwa ndege binafsi ya kukodi ushahidi wa picha umewasilishwa. Mbowe hawezi kufanya ujinga wa kutumia fedha binafsi wakati Chama ni Mali yake na familia Mtei.
 
Correction to fare Dar to MZ round trip ni $200.00 per person and not $89.00.
 
CCM inaliangamiza Taifa huku ikiimba nyimbo za mipasho.
 
Ukiishiwa hoja kaa hata kimya (itakuwa ibada kwako) - kila jambo lina umuhimu wake na kwa wakati wake.

Kwani Serikali iliponunua ndege ilisitisha uendelezaji, uanzishaji na usambazaji wa huduma za maji kwa wananchi wake au unasukumwa na mahaba ya kisiasa!!!
 
Punguza hisia za uvyama, mambo yaliyowazi ni kuwa Chadema walienda Mwanza kwa ndege binafsi ya kukodi ushahidi wa picha umewasilishwa. Mbowe hawezi kufanya ujinga wa kutumia fedha binafsi wakati Chama ni Mali yake na familia Mtei.
Bashiru my home boy anapotumia chatter kuzunguka nchi nzima anatumia hella zake binafsi au ruzuku ya chama
 
dj noma anendela na matumizi yake yasiyo ya lazima
 
Vipi viongozi wa ccm kukodi midege kwenda mwanza hapo unasemaje? unajua mwendawazimu haishiwi visa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…