Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Kigogo ni nani
Kigogo is nonsense, alisema jiwe yuko mahututi, kumbe rubbish, leo analeta uharo tena!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigogo is nonsense, alisema jiwe yuko mahututi, kumbe rubbish, leo analeta uharo tena!
Weka ushahidi wa kwamba wametumia pesa za chama!kitendo cha Viongozi wa Chadema wakiwemo Mbowe, Heche, Lema kukodi Ndege binafsi kuwapeleka kuhudhuria Sherehe ya maadhimisho ya uhuru Tanganyika, ni matumizi Mabaya ya fedha za ruzuku.
Katika wakati ambao MBOWE amekuwa akituhumiwa kutumia vibaya fedha za Chama kwa maslahi binafsi ilitarajiwa kamati kuu ingekuwa mstari wa Mbele kukemea na kumfunga kidhibiti Mwendo mwenyekiti huyo ili kulinda fedha za Chama, kinyume chake ina bariki vitendo hivyo.
Hivi ni kweli viongozi hao walishindwa kutumia mabasi au Ndege za kawaida na kuokoa fedha ambazo zingesaidia kugharamia shughuli zingine za Chama.
Shime wanachama na wafuasi wa Chadema michango, ruzuku na misaada ya Chadema itaendelea kunufaisha maisha binafsi ya watu.
Waswahili wanamsemo kuiga jambo zuri si vibaya, Chadema wajifunze kwa Mhe Rais Magufuli kubana matumizi na fedha zinazookolewa zitumike kwenye mambo mengine ya muhimu.
View attachment 1289768
Ni mpuuzi sanaKigogo is nonsense, alisema jiwe yuko mahututi, kumbe rubbish, leo analeta uharo tena!
Mbona CCM nao hufanya hivyo pia?kitendo cha Viongozi wa Chadema wakiwemo Mbowe, Heche, Lema kukodi Ndege binafsi kuwapeleka kuhudhuria Sherehe ya maadhimisho ya uhuru Tanganyika, ni matumizi Mabaya ya fedha za ruzuku.
Katika wakati ambao MBOWE amekuwa akituhumiwa kutumia vibaya fedha za Chama kwa maslahi binafsi ilitarajiwa kamati kuu ingekuwa mstari wa Mbele kukemea na kumfunga kidhibiti Mwendo mwenyekiti huyo ili kulinda fedha za Chama, kinyume chake ina bariki vitendo hivyo.
Hivi ni kweli viongozi hao walishindwa kutumia mabasi au Ndege za kawaida na kuokoa fedha ambazo zingesaidia kugharamia shughuli zingine za Chama.
Shime wanachama na wafuasi wa Chadema michango, ruzuku na misaada ya Chadema itaendelea kunufaisha maisha binafsi ya watu.
Waswahili wanamsemo kuiga jambo zuri si vibaya, Chadema wajifunze kwa Mhe Rais Magufuli kubana matumizi na fedha zinazookolewa zitumike kwenye mambo mengine ya muhimu.
View attachment 1289768
Weka ushahidi wa kwamba wametumia pesa za chama!
Hivi nikikuita mpumbavu wewe na huyo kigogo sijui ntakuwa nakosea?
Hivi nje na ruzuku ya chama hao hawana pesa zao binafsi? Hawana mshahara ambao ni jasho lao? Hawana vyanzo binafsi vya mapato?
Mtakufa kwa wivu badilikeni bhana mnakera khaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Correction to fare Dar to MZ round trip ni $200.00 per person and not $89.00.kitendo cha Viongozi wa Chadema wakiwemo Mbowe, Heche, Lema kukodi Ndege binafsi kuwapeleka kuhudhuria Sherehe ya maadhimisho ya uhuru Tanganyika, ni matumizi Mabaya ya fedha za ruzuku.
Katika wakati ambao MBOWE amekuwa akituhumiwa kutumia vibaya fedha za Chama kwa maslahi binafsi ilitarajiwa kamati kuu ingekuwa mstari wa Mbele kukemea na kumfunga kidhibiti Mwendo mwenyekiti huyo ili kulinda fedha za Chama, kinyume chake ina bariki vitendo hivyo.
Hivi ni kweli viongozi hao walishindwa kutumia mabasi au Ndege za kawaida na kuokoa fedha ambazo zingesaidia kugharamia shughuli zingine za Chama.
Shime wanachama na wafuasi wa Chadema michango, ruzuku na misaada ya Chadema itaendelea kunufaisha maisha binafsi ya watu.
Waswahili wanamsemo kuiga jambo zuri si vibaya, Chadema wajifunze kwa Mhe Rais Magufuli kubana matumizi na fedha zinazookolewa zitumike kwenye mambo mengine ya muhimu.
View attachment 1289768 to
Bashiru my home boy anapotumia chatter kuzunguka nchi nzima anatumia hella zake binafsi au ruzuku ya chamaPunguza hisia za uvyama, mambo yaliyowazi ni kuwa Chadema walienda Mwanza kwa ndege binafsi ya kukodi ushahidi wa picha umewasilishwa. Mbowe hawezi kufanya ujinga wa kutumia fedha binafsi wakati Chama ni Mali yake na familia Mtei.
dj noma anendela na matumizi yake yasiyo ya lazimakitendo cha Viongozi wa Chadema wakiwemo Mbowe, Heche, Lema kukodi Ndege binafsi kuwapeleka kuhudhuria Sherehe ya maadhimisho ya uhuru Tanganyika, ni matumizi Mabaya ya fedha za ruzuku.
Katika wakati ambao MBOWE amekuwa akituhumiwa kutumia vibaya fedha za Chama kwa maslahi binafsi ilitarajiwa kamati kuu ingekuwa mstari wa Mbele kukemea na kumfunga kidhibiti Mwendo mwenyekiti huyo ili kulinda fedha za Chama, kinyume chake ina bariki vitendo hivyo.
Hivi ni kweli viongozi hao walishindwa kutumia mabasi au Ndege za kawaida na kuokoa fedha ambazo zingesaidia kugharamia shughuli zingine za Chama.
Shime wanachama na wafuasi wa Chadema michango, ruzuku na misaada ya Chadema itaendelea kunufaisha maisha binafsi ya watu.
Waswahili wanamsemo kuiga jambo zuri si vibaya, Chadema wajifunze kwa Mhe Rais Magufuli kubana matumizi na fedha zinazookolewa zitumike kwenye mambo mengine ya muhimu.
View attachment 1289768
unaweza kushindana matumizi na baba yako? pumbavuHata kama wangekodi dreamliner safi kabisa. Wewe ulitaka wakodi coaster kama zile za biafra? CCM wamekodi bomberdier mbona huongei?
Sent using Jamii Forums mobile app