Viongozi wa CHADEMA kukodi Ndege binafsi kuhudhuria Sherehe za uhuru wa Tanganyika ni matumizi mabaya ya fedha za ruzuku

Punguza hisia za uvyama, mambo yaliyowazi ni kuwa Chadema walienda Mwanza kwa ndege binafsi ya kukodi ushahidi wa picha umewasilishwa. Mbowe hawezi kufanya ujinga wa kutumia fedha binafsi wakati Chama ni Mali yake na familia Mtei.
Makufuli alienda chato kwa air bus 220, vipi gharama zake?
 
Ni kweli hizo fedha mngejenga ofisi za matawi jmn - midege cdm si wakati wake - hurumieni walipa kodi
 
Wanaccm santuri hii inawahusu kwa wale mnaotaka ku jump ship muda muafaka ni huu
 

Takataka hii...
Wale viongozi wa serikali mbona walikuwa na misafara mirefu ambayo hata haikuwa na umuhimu, hilo hukuliona?
...miaka ya nyuma tuliaminishwa hizo sherehe kutofanyika kwake ni kubana matumizi, na kupeleka fedha zilizokuwa saved kwenye miradi muhimu mfano barabara n.k!
Je mwaka huu hakukuwa na mradi uliokuwa unahitaji kutekelezwa, au ndio tuseme kile kilichozuia miaka ya nyuma hakipo tena? Kwamba tayari matatizo yameisha, kuwa barabara, maji, afya n.k vipo kila sehemu??




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Niliwahi kuandika 2week ago hum jf yakuwa? Chadema nichama cha biashara siyo cha ukombozi, nambowe ndo mwenyehisa nyingi alizorithi kutoka kwa bb nkwe wake mzee mteiii. Hao alowapandisha ndege ndo wasindikizaji wake, bahilo andiko walilifuta jf .
 
Chadema ni chama cha biashara siyo cha siada! Wajinga ndio waliwao
 
We Ni mpumbavu wa kwanza
Mbowe aliwahi kukamatwa kuperekwa arusha kwa ndege alilalamika sana serikari kutumia garama kubwa kumsafirisha hafi arusha kwandege kubwa naakasema huko nikuharibu kodi za wananchi yy aoni anaharibu fedha za rudhuku ? Ambazo ni kodi zetu sisi?
 
Mbowe aliwahi kukamatwa kuperekwa arusha kwa ndege alilalamika sana serikari kutumia garama kubwa kumsafirisha hafi arusha kwandege kubwa naakasema huko nikuharibu kodi za wananchi yy aoni anaharibu fedha za rudhuku ? Ambazo ni kodi zetu sisi?
Nimekumbuka ilikuwa ndege ya jeshi alibebwa usiku wa manane

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…