Viongozi wa CHADEMA kukodi Ndege binafsi kuhudhuria Sherehe za uhuru wa Tanganyika ni matumizi mabaya ya fedha za ruzuku

Muwe mnatunza kumbukumbu na muwe mnapanga ya kuponda

My take: Hii ni hasara ya kupinga kila jambo

USSR
View attachment 1289825
Watanzania hawataki Ndege wanataka Maji; Naona viongozi wangu wakuu wakiwa ndani ya Maji kuelekea Mwanza. #chumaJPM.
Miongini mwa vitu walivyosahau wapinzani wa nchi hii ni kutetea kwanza rasilimali za wananchi zilizopatikana kwa juhudi za pamoja ambazo leo hii ni Mali ya Chama tawala.
 
Hakuna matumizi mazuri ya pesa. Matumizi ni matumizi tu.
 
Hoja yako dhaifu. Ndege sio lazima zinunuliwe na serikali. Ila maji ni lazima yaletwe na serikali

Akili Ni pamoja na kukubali ya muhimu. Hoja yake haina ubaya so long as Ana facts za Ndani. Na wewe umekimbilia kupinga tu.
Kama ndo Demokrasia Hii mkuu na wewe ndo mpinzani wa chama tawala. Basi jua Nyie ndo mtakuwa madikteta originale.

Inawezekana Ndege za public zimejaa na sherehe ni ya tarehe husika. So wanaweza kuwa wamefanya haya kuweza kufika kwa wakati. Ila kama wameacha kupanda air Tz kisa za Serikali na posho na ruzuku za Serikali wanakula, Basi hiyo ni hatari sana kwa maslahi ya nchi. Sipendi kuhukumu mahali pasipo na data za kutosheleza. Lakini lazima kukubali Ni expensive sana ukicompare na other means za usafiri.
 
Muwe mnatunza kumbukumbu na muwe mnapanga ya kuponda

My take: Hii ni hasara ya kupinga kila jambo

USSR
View attachment 1289825
Watanzania hawataki Ndege wanataka Maji; Naona viongozi wangu wakuu wakiwa ndani ya Maji kuelekea Mwanza. #chumaJPM.
kwani kabla ya ndege za serikali watu walikuwa hawendi mwanza kwa ndege? issue ni kuipa sekta binafsi kukua na sio kudiscredit usafiri wa ndege. ushindani wa kweli unaletwa na sekta binafsi na sio serikali.
Pia kwa usalama wao na kupunguza minyukano ya kisiasa isiyo na msingi ulikua uamuzi bora kufanya walivyofanya. swala la hela lipo tuu, mbona hata viongozi wa serilikali huwa wanakodi ndege! nadhani hiyo sio hoja ya msingi.
 
Tatizo shule huna

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Km wew livuvuzera poyoyo km wew ndo mfano wa watu walioenda shule bas elimu ulikoipata itakua ya ovyo sana. Hvi vituko mtu aliyeenda shule ni ndio wa kila jambo km zombie ? Otherwise your education tarnishes the reputation of the institute that offered you unconventional certificate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…