tol
JF-Expert Member
- Apr 18, 2014
- 256
- 170
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miongini mwa vitu walivyosahau wapinzani wa nchi hii ni kutetea kwanza rasilimali za wananchi zilizopatikana kwa juhudi za pamoja ambazo leo hii ni Mali ya Chama tawala.Muwe mnatunza kumbukumbu na muwe mnapanga ya kuponda
My take: Hii ni hasara ya kupinga kila jambo
USSR
View attachment 1289825
Watanzania hawataki Ndege wanataka Maji; Naona viongozi wangu wakuu wakiwa ndani ya Maji kuelekea Mwanza. #chumaJPM.
Kwani upande fulani kutumia fedha vibaya kunahalisha upande wa pili kutumia vibaya pia?Ila kununua wapinzani na kurudia uchaguzi ndio matumizi mazuri ya kodi zetu..??
Kuna nati zimekatika huko ufipaniMiongini mwa vitu walivyosahau wapinzani wa nchi hii ni kutetea kwanza rasilimali za wananchi zilizopatikana kwa juhudi za pamoja ambazo leo hii ni Mali ya Chama tawala.
Kuna nati zimekatika huko ufipaniMiongini mwa vitu walivyosahau wapinzani wa nchi hii ni kutetea kwanza rasilimali za wananchi zilizopatikana kwa juhudi za pamoja ambazo leo hii ni Mali ya Chama tawala.
Hahahah! Hawa politicians ni wapuuzi sana aisei wanakodi ndege eti kuhudhuria sherehe za uhuru stupidest kabisa.Maamaee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Kwanini asingeangamiza tako la Makonda Kwanza Mkuu!? Afu hao wawe wa mwisho!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah! Hawa politicians ni wapuuzi sana aisei wanakodi ndege eti kuhudhuria sherehe za uhuru stupidest kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati mwingine ndege inaweza kuwa being nafuu kuliko viongozi hao wore wangeenda na magari kila mmoja. Gharama ya mafuta; dereva; service za magari yote no gharama kubwa sanaUnadhani wanapenda kusupply maji? Mbona Wizara inataka kuwataka kodi za kusupply maji kama ni yao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dereva analipwa kila siku ,service ni kila siku ,Wakati mwingine ndege inaweza kuwa being nafuu kuliko viongozi hao wore wangeenda na magari kila mmoja. Gharama ya mafuta; dereva; service za magari yote no gharama kubwa sana
Matumizi mazuri ya pesa yapo acha kupotoshaHakuna matumizi mazuri ya pesa. Matumizi ni matumizi tu.
Matumizi mazuri ya pesa ni yapi?!
Hoja yako dhaifu. Ndege sio lazima zinunuliwe na serikali. Ila maji ni lazima yaletwe na serikali
same to youPar ce que comme l'imbecile vilageur, tu ne sais pas quoi tu parles. To hell with you.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani kabla ya ndege za serikali watu walikuwa hawendi mwanza kwa ndege? issue ni kuipa sekta binafsi kukua na sio kudiscredit usafiri wa ndege. ushindani wa kweli unaletwa na sekta binafsi na sio serikali.Muwe mnatunza kumbukumbu na muwe mnapanga ya kuponda
My take: Hii ni hasara ya kupinga kila jambo
USSR
View attachment 1289825
Watanzania hawataki Ndege wanataka Maji; Naona viongozi wangu wakuu wakiwa ndani ya Maji kuelekea Mwanza. #chumaJPM.
الجهل مثلك، لا يمكن ان يعلم ما يتكلم بشكل ممتاز.same to you
Km wew livuvuzera poyoyo km wew ndo mfano wa watu walioenda shule bas elimu ulikoipata itakua ya ovyo sana. Hvi vituko mtu aliyeenda shule ni ndio wa kila jambo km zombie ? Otherwise your education tarnishes the reputation of the institute that offered you unconventional certificate.