Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lako wewe ni mbumbumbu mkubwa hujui lolote, serikali huwa haifanyi Biashara, kazi yake ni kusimamia uchumi, na kuleta Elimu bora,maji na infrastructures.Muwe mnatunza kumbukumbu na muwe mnapanga ya kuponda
My take: Hii ni hasara ya kupinga kila jambo
USSR
View attachment 1288540
Mbumbumbu mkubwa wewe ktk ubora wako.Jamaa kawapiga nyundo ya utosi kama kitimoto malialia tu
State agent
Hujatafakari vya kutoshaHoja yako dhaifu. Ndege sio lazima zinunuliwe na serikali. Ila maji ni lazima yaletwe na serikali
Huyo atakwea treni maana na wenyewe ni usafiriVipi huyu nae kesha panda ndege?View attachment 1288581
Kodi ni lazima kwa kila anayefanya biasharaUnadhani wanapenda kusupply maji? Mbona Wizara inataka kuwataka kodi za kusupply maji kama ni yao?
Sent using Jamii Forums mobile app