Viongozi wa CHADEMA kukodi Ndege binafsi kuhudhuria Sherehe za uhuru wa Tanganyika ni matumizi mabaya ya fedha za ruzuku

Viongozi wa CHADEMA kukodi Ndege binafsi kuhudhuria Sherehe za uhuru wa Tanganyika ni matumizi mabaya ya fedha za ruzuku

D200-0790-138A-2.jpg

Ndege si kipaumbele huduma za jamii kwanza.
 
Uzeni ndege zote kubwa halafu pesa zielekezwe kwenye huduma za jamii
 
CCM ni kimbilio la wajinga.sijawahi kuona katika maisha yangu sehemu yenye msongamano wa wajinga kama kwenye ccm
 
r.jpg

Wanaume wazima hata hawaoni aibu cheki matumbo ya rushwa.
Wamekuja kujipiga picha kampeni zimekaribia
 
er-1.jpg

Angalia dhiki ya maji Tanzania halafu watu wanachezea fedha za umma
 
Chama cha Mapinduzi kwa sasa kiko kwa msaada wa Polisi tu
 
downloadfile.jpg

Jemadari Mhe sana Tundu Antipas Lissu tegemeo la Watanzania
Mungu ni mwema wakati wote.
 
Muwe mnatunza kumbukumbu na muwe mnapanga ya kuponda

My take: Hii ni hasara ya kupinga kila jambo

USSR

View attachment 1288540
Tatizo lako wewe ni mbumbumbu mkubwa hujui lolote, serikali huwa haifanyi Biashara, kazi yake ni kusimamia uchumi, na kuleta Elimu bora,maji na infrastructures.
Kwani ndege za Fast jets hazikuwepo?
Pathetic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
downloadfile-1.jpg
1812588_IMG_20180808_093931.jpg

CCM kinatakiwa kiorodheshwe kwenye listi ya vikundi vya kigaidi
 
Mauwaji yote haya yanaendeshwa na CCM kupitia vikundi vyake vya Mauwaji vikiratibiwa na Malyamungu wa Mzizima.
 
kitendo cha Viongozi wa Chadema wakiwemo Mbowe, Heche, Lema kukodi Ndege binafsi kuwapeleka kuhudhuria Sherehe ya maadhimisho ya uhuru Tanganyika, ni matumizi Mabaya ya fedha za ruzuku.

Katika wakati ambao MBOWE amekuwa akituhumiwa kutumia vibaya fedha za Chama kwa maslahi binafsi ilitarajiwa kamati kuu ingekuwa mstari wa Mbele kukemea na kumfunga kidhibiti Mwendo mwenyekiti huyo ili kulinda fedha za Chama, kinyume chake ina bariki vitendo hivyo.

Hivi ni kweli viongozi hao walishindwa kutumia mabasi au Ndege za kawaida na kuokoa fedha ambazo zingesaidia kugharamia shughuli zingine za Chama.

Shime wanachama na wafuasi wa Chadema michango, ruzuku na misaada ya Chadema itaendelea kunufaisha maisha binafsi ya watu.

Waswahili wanamsemo kuiga jambo zuri si vibaya, Chadema wajifunze kwa Mhe Rais Magufuli kubana matumizi na fedha zinazookolewa zitumike kwenye mambo mengine ya muhimu.
 
xsaanane.jpg
xsaanane.jpg

Kuhoji phd ya Mtawala isiwe hukumu ta kifo justice4Bensaa8.
 
Back
Top Bottom