Viongozi wa CHADEMA msitafute huruma ya wananchi kupitia kiki za matukio, mtaumia bure

Mkuu utahangaika sn na CHADEMA ila ujue kitu kimoja...
CHADEMA IPO KWENYE MIOYO YA WATZ wkt ccm ipo kwenye mioyo ya polisi na tume ya uchaguzi
Uko sahihi mkuu upinzani upo kwenye mioyo ya watu ila sasa Jambo la muhimu ni kwa jinsi gani huo upenzani utaendeshwa kwa namna bora na si kwa siasa za matukio na kupakaziana lawama, huo sio upinzani wenye tija mkuu.
 
Hivi ukishakuwa mwanasiasa huwezi kuwa na ugomvi na watu wengine nje ya hii sphere hadi kila unapovamiwa, kupigwa au kufanyiwa fujo ionekane ni serikali ndo wahusika?
Cha kushangaza zaidi ni kwamba wanaCCM wakikutana na matukio ya aina hiihii hawatuhumiwi wapinzani at the first place.

Refer Mkuranga,Rufiji na Kibiti
 
Wanabodi Natumai mpo salama na Mungu anaendelea kutuepusha na hili janga la Covid19 Basi naomba niende kwenye mada bila kupoteza muda.

Leo asubuhi nimekutana na habari ya kuvamiwa
kwa mwenyekitii wa Chadema, Mh freeman Mbowe akiwa Dodoma.
Hivyo ikabidi nifuatilie undani wa taarifa zaidi, nanukuu nilichokisikia kutoka kwa Tumain makene Kupitia sauti ya simu;

"Nikweli mwenyekiti wetu amevamiwa na kundi la watu wasiojulikana mida ya sa6-7 usiku wakati akirejea nyumbani kwake, kundi Hilo lilimuvizia alipokuwa akipanda ngazi za kuelekea nyumban kwake Dodoma na likampiga na kumjeruhi. Amekimbizwa hospital kwa ajili ya matibabu zaidi taarifa zaidi tutazitoa baadae" Tumain Makene Msemaji wa idara ya nawasiliano Chadema.

Kwamaelezo hayo yamenifanya nipate ukakasi juu ya hilo tukio na kufanya nilione kwa asilimia kubwa Kama Ni kiki za kisiasa tu za kujarbu kutafta huruma kwa wananchi. Miongoni mwa masawali yanayotatiza juu ya hilo tukio Ni hayapa;

1. Je Mh Mbowe Hakuwa na walinzi/Wapambe Tena mida ya usiku Kama Ile? Na Kama alikuwa nao mbona wao hawajaripotiwa kukwaruzwa Wala kupambana na hao wavamiaji?

2. Wavamizi waliingiaingia je ndani ya eneo la nyumba ya Mbowe mpaka wakamusubiri apaki gari lake akaanza kupanda ngazi ndo wakamuvamia? Nikweli nyumba ya kiongozi mkubwa Kama Mbowe haina walinzi kweli Hadi watu waingie kirahisi vile? Na Kama wapo walipambana na hao wavamizi?

3. Nikweli Mbowe pale dodoma anaishi mwenyewe tu Hakuna mtu mwingine anaeishi nae? Na Kama yupo je mbona yeye hakuumizwa Wala kujeruhiwa au hao wavamizi walikuwa ghosts?

4. Nikweli tukio la Mbowe limekaa kisaiasa au kijamii , ikumbukwe pia Wabunge wetu huwa wanatabia ya kuingilia mahusiano ya watu wanapokuwa huko bungeni(hili lipo wazi) japo simanishi ndo Sababu ila inaweza wekwa kwenye kudhani pia.

NOTE; Ikumbukwe tukio hili la uvamizi halijafanyika barabarani,bar,ofisini na n.k Bali limefanyika eneo la makazi ya Mbowe Tena akipanda ngazi.

#Viongozi punguzeni kiki za kisiasa mtakuja kuumia halfu bila kupata hiyo huruma mnayoitafta.
#Watu punguzeni kudhurula usiku wa manane pia. Mpaka inafika sa6+ hujarejea nyumbani tu huo Ni udhurulaji hata Sheria ya udhurulaji ipo wazi juu ya hili. Pia tusisahau kuwa usiku una Mambo mengi sana.

Ahsanteni.
Mkuu hapo jamaa anazima kashfa zilizokuwa zinamuandama. Hasa alizotoa Lijualikali na Waitara.
Hivi akitakiwa arudishe 8b. Kipindi hiki. Na hana uhakika wa kurudi bungeni. Pia hana uhakika wa ruzuku kwani wabunge wake wanapumulia mashine. Kaona bora ajivunje mguu apate huruma za watu na wasahau kashfa zinazomkabili
 
Ulilielewa shambulio dhidi ya Lissu mchana kweupe siku ya kazi mwaka 2017 ndani ya eneo lenye walinzi (askari) pamoja na kamera?
 
.
a9868a767d072d04683d769372a2934e.jpg
 
Unajua nyie mataga na watu wengine kutoka chattle namna zenu za kufanya mambo ni mbovu na za kishamba mno. Kuanzia Lissu, Saanane na hadi hii leo Mbowe chapa yenu ya ujinga na inonekana kwenye matukio yote. Ni suala la muda tu kuanzia akina bashite na anayemtuma mchoro wote unajulikana na muda wenu unahesabika.
 
Usikurupuke sana kuongea,subiri Maelezo baada ya uchunguzi wa polisi
Wanabodi Natumai mpo salama na Mungu anaendelea kutuepusha na hili janga la Covid19 Basi naomba niende kwenye mada bila kupoteza muda.

Leo asubuhi nimekutana na habari ya kuvamiwa
kwa mwenyekitii wa Chadema, Mh freeman Mbowe akiwa Dodoma.
Hivyo ikabidi nifuatilie undani wa taarifa zaidi, nanukuu nilichokisikia kutoka kwa Tumain makene Kupitia sauti ya simu;

"Nikweli mwenyekiti wetu amevamiwa na kundi la watu wasiojulikana mida ya sa6-7 usiku wakati akirejea nyumbani kwake, kundi Hilo lilimuvizia alipokuwa akipanda ngazi za kuelekea nyumban kwake Dodoma na likampiga na kumjeruhi. Amekimbizwa hospital kwa ajili ya matibabu zaidi taarifa zaidi tutazitoa baadae" Tumain Makene Msemaji wa idara ya nawasiliano Chadema.

Kwamaelezo hayo yamenifanya nipate ukakasi juu ya hilo tukio na kufanya nilione kwa asilimia kubwa Kama Ni kiki za kisiasa tu za kujarbu kutafta huruma kwa wananchi. Miongoni mwa masawali yanayotatiza juu ya hilo tukio Ni hayapa;

1. Je Mh Mbowe Hakuwa na walinzi/Wapambe Tena mida ya usiku Kama Ile? Na Kama alikuwa nao mbona wao hawajaripotiwa kukwaruzwa Wala kupambana na hao wavamiaji?

2. Wavamizi waliingiaingia je ndani ya eneo la nyumba ya Mbowe mpaka wakamusubiri apaki gari lake akaanza kupanda ngazi ndo wakamuvamia? Nikweli nyumba ya kiongozi mkubwa Kama Mbowe haina walinzi kweli Hadi watu waingie kirahisi vile? Na Kama wapo walipambana na hao wavamizi?

3. Nikweli Mbowe pale dodoma anaishi mwenyewe tu Hakuna mtu mwingine anaeishi nae? Na Kama yupo je mbona yeye hakuumizwa Wala kujeruhiwa au hao wavamizi walikuwa ghosts?

4. Nikweli tukio la Mbowe limekaa kisaiasa au kijamii , ikumbukwe pia Wabunge wetu huwa wanatabia ya kuingilia mahusiano ya watu wanapokuwa huko bungeni(hili lipo wazi) japo simanishi ndo Sababu ila inaweza wekwa kwenye kudhani pia.

NOTE; Ikumbukwe tukio hili la uvamizi halijafanyika barabarani,bar,ofisini na n.k Bali limefanyika eneo la makazi ya Mbowe Tena akipanda ngazi.

#Viongozi punguzeni kiki za kisiasa mtakuja kuumia halfu bila kupata hiyo huruma mnayoitafta.
#Watu punguzeni kudhurula usiku wa manane pia. Mpaka inafika sa6+ hujarejea nyumbani tu huo Ni udhurulaji hata Sheria ya udhurulaji ipo wazi juu ya hili. Pia tusisahau kuwa usiku una Mambo mengi sana.

Ahsanteni.
 
Wewe ndio unaye puyanga ovyo bila kujibu maswali ninayo uliza, angalia kwenye quote zako kuna hoja yoyote nilio itoa ulio ijibu mkuu?? Jifunze kujibu hoja na sio kuandika chochote tu.

Sasa unanipangia cha kujibu mkuu? Kama umeona hakuna hoja niliyojibu basi ujue kwangu mimi sijaona kama ni hoja...!!
Bila shaka tumeelewana, kama kwako wewe unaona ni hoja, basi kwangu inaweza isiwe hoja! Usitake nijibu kile unachopenda...
 
Hoja za kipuuzi ni kwa kipimo kipi ulichutumia kuzipima??
Na hizi zako umezipima kwa kipimo gani hadi ukaona sio za kipuuzi??

Ukakasi tunao ujadili ni wa jinsi tukio lilovyo tokea na tuhuma zinazotupwa kwa serikali kuwa ndio wahusika.

Wakikosekana kukamatwa pia sio Jambo la kushangaa kwasababu matukio kama hayo hayawakuti wanasiasa tu bali watu wengi wamekubwa na matukio kama hayo na wahusika bado hawajapatikana sa sio ajabu kwa mh Mbowe tu.

Unasema kwanini yawe kipindi hiki tu
Kwani kina Chacha Wangwe walikufa kipindi gani?
Kina Mwangosi yaliwakuta kwenye kipindi gani?
Dr Ulimboka aling'olewa kucha kwenye kipindi gani?

Hoja za kipuuzi zinajibiwa kipuuzi, hivyo kama umeona nimejibu kipuuzi basi, utambue nimejibu kipuuzi kwa kuwa ni za kipuuzi!
Hayo mengine ya mwangosi, sijui chacha n.k hapa sidhani kama itakuwa mahali sahihi pa kuyajadili!
Mfano wa Lissu nilioutoa unashabihana kabisa na tukio la Mbowe! Eneo ni lile lile tena katika mazingira ya kipindi kinachofanana kisiasa na kiutawala!
Usijitoe ufahamu bwana mdogo!
 
Niliposoma msitar wa kwanza nimeona wewe akili yako ndogo mno huna uwezo wa kufikiri pumbaf.
 
1. Je Mh Mbowe Hakuwa na walinzi/Wapambe Tena mida ya usiku Kama Ile? Na Kama alikuwa nao mbona wao hawajaripotiwa kukwaruzwa Wala kupambana na hao wavamiaji?

2. Wavamizi waliingiaingia je ndani ya eneo la nyumba ya Mbowe mpaka wakamusubiri apaki gari lake akaanza kupanda ngazi ndo wakamuvamia? Nikweli nyumba ya kiongozi mkubwa Kama Mbowe haina walinzi kweli Hadi watu waingie kirahisi vile? Na Kama wapo walipambana na hao wavamizi?

3. Nikweli Mbowe pale dodoma anaishi mwenyewe tu Hakuna mtu mwingine anaeishi nae? Na Kama yupo je mbona yeye hakuumizwa Wala kujeruhiwa au hao wavamizi walikuwa ghosts?

4. Nikweli tukio la Mbowe limekaa kisaiasa au kijamii , ikumbukwe pia Wabunge wetu huwa wanatabia ya kuingilia mahusiano ya watu wanapokuwa huko bungeni(hili lipo wazi) japo simanishi ndo Sababu ila inaweza wekwa kwenye kudhani pia.

NOTE; Ikumbukwe tukio hili la uvamizi halijafanyika barabarani,bar,ofisini na n.k Bali limefanyika eneo la makazi ya Mbowe Tena akipanda ngazi.
Ujinga ukizidi sana unakuwa upumbavu. Hivi mtu/kibaka akitaka kukuvamia anakutaarifu? Halafu bila aibu unasema wasitafute huruma. Huruma ? Mtu kuvunjwa mguu anatafuta huruma? Shenzi wewe
 
Wanabodi Natumai mpo salama na Mungu anaendelea kutuepusha na hili janga la Covid19 Basi naomba niende kwenye mada bila kupoteza muda.

Leo asubuhi nimekutana na habari ya kuvamiwa
kwa mwenyekitii wa Chadema, Mh freeman Mbowe akiwa Dodoma.
Hivyo ikabidi nifuatilie undani wa taarifa zaidi, nanukuu nilichokisikia kutoka kwa Tumain makene Kupitia sauti ya simu;

"Nikweli mwenyekiti wetu amevamiwa na kundi la watu wasiojulikana mida ya sa6-7 usiku wakati akirejea nyumbani kwake, kundi Hilo lilimuvizia alipokuwa akipanda ngazi za kuelekea nyumban kwake Dodoma na likampiga na kumjeruhi. Amekimbizwa hospital kwa ajili ya matibabu zaidi taarifa zaidi tutazitoa baadae" Tumain Makene Msemaji wa idara ya nawasiliano Chadema.

Kwamaelezo hayo yamenifanya nipate ukakasi juu ya hilo tukio na kufanya nilione kwa asilimia kubwa Kama Ni kiki za kisiasa tu za kujarbu kutafta huruma kwa wananchi. Miongoni mwa masawali yanayotatiza juu ya hilo tukio Ni hayapa;

1. Je Mh Mbowe Hakuwa na walinzi/Wapambe Tena mida ya usiku Kama Ile? Na Kama alikuwa nao mbona wao hawajaripotiwa kukwaruzwa Wala kupambana na hao wavamiaji?

2. Wavamizi waliingiaingia je ndani ya eneo la nyumba ya Mbowe mpaka wakamusubiri apaki gari lake akaanza kupanda ngazi ndo wakamuvamia? Nikweli nyumba ya kiongozi mkubwa Kama Mbowe haina walinzi kweli Hadi watu waingie kirahisi vile? Na Kama wapo walipambana na hao wavamizi?

3. Nikweli Mbowe pale dodoma anaishi mwenyewe tu Hakuna mtu mwingine anaeishi nae? Na Kama yupo je mbona yeye hakuumizwa Wala kujeruhiwa au hao wavamizi walikuwa ghosts?

4. Nikweli tukio la Mbowe limekaa kisaiasa au kijamii , ikumbukwe pia Wabunge wetu huwa wanatabia ya kuingilia mahusiano ya watu wanapokuwa huko bungeni(hili lipo wazi) japo simanishi ndo Sababu ila inaweza wekwa kwenye kudhani pia.

NOTE; Ikumbukwe tukio hili la uvamizi halijafanyika barabarani,bar,ofisini na n.k Bali limefanyika eneo la makazi ya Mbowe Tena akipanda ngazi.

#Viongozi punguzeni kiki za kisiasa mtakuja kuumia halfu bila kupata hiyo huruma mnayoitafta.
#Watu punguzeni kudhurula usiku wa manane pia. Mpaka inafika sa6+ hujarejea nyumbani tu huo Ni udhurulaji hata Sheria ya udhurulaji ipo wazi juu ya hili. Pia tusisahau kuwa usiku una Mambo mengi sana.

Ahsanteni.
Maswali yako yote niyakipumbavu kwasababu it is known for long now kuna kundi linalojulokana na serikali halijulikani na umma lina shambulia na kuteka na kuua critics na wapinzani
 
Hawa wameshaigeuza iyo ya kuvamiwa ndo sera, wananchi tumeshituka, atakaye wapa kura hakika ana maslai ya moja kwa moja nao lasihivyo hawapati kitu hapa
Umeshituka na mwenzio nani, mbuzi ww.
 
Uko sahihi mkuu upinzani upo kwenye mioyo ya watu ila sasa Jambo la muhimu ni kwa jinsi gani huo upenzani utaendeshwa kwa namna bora na si kwa siasa za matukio na kupakaziana lawama, huo sio upinzani wenye tija mkuu.
Uko sawa mkuu ila matukio unajua nani anayatengeneza? Hizo zote ni juhudi za kuua chadema kwa maneno na matendo ya viongozi wakuu wa ccm
 
Kama mmetegemea kwa kuwa uchaguzi upo jirani na hakuna namna tena baada ya kutofanya chochote ndani ya miaka mitano, mlikalia politiki kumshambulia mtu badala ya kujikita kwenye kuwaletea maendeleo wananchi msitegemee hili la kujitengenezea muvi kama litawabeba.

Watu wanataka maendeleo sio blah blah wala plan za makaratasi,wanataka vitendo sio nadharia kwa kasi hii msitegmee huruma kwa kuwa tu ulipanda ngazi ukateguka mguu.

Wananchi watahoji kabla ya kuvunjika kipi ulichofanya? Hivyo msijitengenezee matukio kwa kutegemea huruma,mwisho wa siku unabaki na maumivu yako!
 
Back
Top Bottom