Uko sahihi mkuu upinzani upo kwenye mioyo ya watu ila sasa Jambo la muhimu ni kwa jinsi gani huo upenzani utaendeshwa kwa namna bora na si kwa siasa za matukio na kupakaziana lawama, huo sio upinzani wenye tija mkuu.Mkuu utahangaika sn na CHADEMA ila ujue kitu kimoja...
CHADEMA IPO KWENYE MIOYO YA WATZ wkt ccm ipo kwenye mioyo ya polisi na tume ya uchaguzi
Cha kushangaza zaidi ni kwamba wanaCCM wakikutana na matukio ya aina hiihii hawatuhumiwi wapinzani at the first place.Hivi ukishakuwa mwanasiasa huwezi kuwa na ugomvi na watu wengine nje ya hii sphere hadi kila unapovamiwa, kupigwa au kufanyiwa fujo ionekane ni serikali ndo wahusika?
Mkuu hapo jamaa anazima kashfa zilizokuwa zinamuandama. Hasa alizotoa Lijualikali na Waitara.Wanabodi Natumai mpo salama na Mungu anaendelea kutuepusha na hili janga la Covid19 Basi naomba niende kwenye mada bila kupoteza muda.
Leo asubuhi nimekutana na habari ya kuvamiwa
kwa mwenyekitii wa Chadema, Mh freeman Mbowe akiwa Dodoma.
Hivyo ikabidi nifuatilie undani wa taarifa zaidi, nanukuu nilichokisikia kutoka kwa Tumain makene Kupitia sauti ya simu;
"Nikweli mwenyekiti wetu amevamiwa na kundi la watu wasiojulikana mida ya sa6-7 usiku wakati akirejea nyumbani kwake, kundi Hilo lilimuvizia alipokuwa akipanda ngazi za kuelekea nyumban kwake Dodoma na likampiga na kumjeruhi. Amekimbizwa hospital kwa ajili ya matibabu zaidi taarifa zaidi tutazitoa baadae" Tumain Makene Msemaji wa idara ya nawasiliano Chadema.
Kwamaelezo hayo yamenifanya nipate ukakasi juu ya hilo tukio na kufanya nilione kwa asilimia kubwa Kama Ni kiki za kisiasa tu za kujarbu kutafta huruma kwa wananchi. Miongoni mwa masawali yanayotatiza juu ya hilo tukio Ni hayapa;
1. Je Mh Mbowe Hakuwa na walinzi/Wapambe Tena mida ya usiku Kama Ile? Na Kama alikuwa nao mbona wao hawajaripotiwa kukwaruzwa Wala kupambana na hao wavamiaji?
2. Wavamizi waliingiaingia je ndani ya eneo la nyumba ya Mbowe mpaka wakamusubiri apaki gari lake akaanza kupanda ngazi ndo wakamuvamia? Nikweli nyumba ya kiongozi mkubwa Kama Mbowe haina walinzi kweli Hadi watu waingie kirahisi vile? Na Kama wapo walipambana na hao wavamizi?
3. Nikweli Mbowe pale dodoma anaishi mwenyewe tu Hakuna mtu mwingine anaeishi nae? Na Kama yupo je mbona yeye hakuumizwa Wala kujeruhiwa au hao wavamizi walikuwa ghosts?
4. Nikweli tukio la Mbowe limekaa kisaiasa au kijamii , ikumbukwe pia Wabunge wetu huwa wanatabia ya kuingilia mahusiano ya watu wanapokuwa huko bungeni(hili lipo wazi) japo simanishi ndo Sababu ila inaweza wekwa kwenye kudhani pia.
NOTE; Ikumbukwe tukio hili la uvamizi halijafanyika barabarani,bar,ofisini na n.k Bali limefanyika eneo la makazi ya Mbowe Tena akipanda ngazi.
#Viongozi punguzeni kiki za kisiasa mtakuja kuumia halfu bila kupata hiyo huruma mnayoitafta.
#Watu punguzeni kudhurula usiku wa manane pia. Mpaka inafika sa6+ hujarejea nyumbani tu huo Ni udhurulaji hata Sheria ya udhurulaji ipo wazi juu ya hili. Pia tusisahau kuwa usiku una Mambo mengi sana.
Ahsanteni.
What i saw is wrong on every level!Inaonekana na wewe umeamua kushare kitu kinachokuhusu mwenyewe Kupitia mgongo wa mwanaume mwenzio..
Ok ahsante kwa taarifa tumejua.
Wanabodi Natumai mpo salama na Mungu anaendelea kutuepusha na hili janga la Covid19 Basi naomba niende kwenye mada bila kupoteza muda.
Leo asubuhi nimekutana na habari ya kuvamiwa
kwa mwenyekitii wa Chadema, Mh freeman Mbowe akiwa Dodoma.
Hivyo ikabidi nifuatilie undani wa taarifa zaidi, nanukuu nilichokisikia kutoka kwa Tumain makene Kupitia sauti ya simu;
"Nikweli mwenyekiti wetu amevamiwa na kundi la watu wasiojulikana mida ya sa6-7 usiku wakati akirejea nyumbani kwake, kundi Hilo lilimuvizia alipokuwa akipanda ngazi za kuelekea nyumban kwake Dodoma na likampiga na kumjeruhi. Amekimbizwa hospital kwa ajili ya matibabu zaidi taarifa zaidi tutazitoa baadae" Tumain Makene Msemaji wa idara ya nawasiliano Chadema.
Kwamaelezo hayo yamenifanya nipate ukakasi juu ya hilo tukio na kufanya nilione kwa asilimia kubwa Kama Ni kiki za kisiasa tu za kujarbu kutafta huruma kwa wananchi. Miongoni mwa masawali yanayotatiza juu ya hilo tukio Ni hayapa;
1. Je Mh Mbowe Hakuwa na walinzi/Wapambe Tena mida ya usiku Kama Ile? Na Kama alikuwa nao mbona wao hawajaripotiwa kukwaruzwa Wala kupambana na hao wavamiaji?
2. Wavamizi waliingiaingia je ndani ya eneo la nyumba ya Mbowe mpaka wakamusubiri apaki gari lake akaanza kupanda ngazi ndo wakamuvamia? Nikweli nyumba ya kiongozi mkubwa Kama Mbowe haina walinzi kweli Hadi watu waingie kirahisi vile? Na Kama wapo walipambana na hao wavamizi?
3. Nikweli Mbowe pale dodoma anaishi mwenyewe tu Hakuna mtu mwingine anaeishi nae? Na Kama yupo je mbona yeye hakuumizwa Wala kujeruhiwa au hao wavamizi walikuwa ghosts?
4. Nikweli tukio la Mbowe limekaa kisaiasa au kijamii , ikumbukwe pia Wabunge wetu huwa wanatabia ya kuingilia mahusiano ya watu wanapokuwa huko bungeni(hili lipo wazi) japo simanishi ndo Sababu ila inaweza wekwa kwenye kudhani pia.
NOTE; Ikumbukwe tukio hili la uvamizi halijafanyika barabarani,bar,ofisini na n.k Bali limefanyika eneo la makazi ya Mbowe Tena akipanda ngazi.
#Viongozi punguzeni kiki za kisiasa mtakuja kuumia halfu bila kupata hiyo huruma mnayoitafta.
#Watu punguzeni kudhurula usiku wa manane pia. Mpaka inafika sa6+ hujarejea nyumbani tu huo Ni udhurulaji hata Sheria ya udhurulaji ipo wazi juu ya hili. Pia tusisahau kuwa usiku una Mambo mengi sana.
Ahsanteni.
Wewe ndio unaye puyanga ovyo bila kujibu maswali ninayo uliza, angalia kwenye quote zako kuna hoja yoyote nilio itoa ulio ijibu mkuu?? Jifunze kujibu hoja na sio kuandika chochote tu.
Hoja za kipuuzi ni kwa kipimo kipi ulichutumia kuzipima??
Na hizi zako umezipima kwa kipimo gani hadi ukaona sio za kipuuzi??
Ukakasi tunao ujadili ni wa jinsi tukio lilovyo tokea na tuhuma zinazotupwa kwa serikali kuwa ndio wahusika.
Wakikosekana kukamatwa pia sio Jambo la kushangaa kwasababu matukio kama hayo hayawakuti wanasiasa tu bali watu wengi wamekubwa na matukio kama hayo na wahusika bado hawajapatikana sa sio ajabu kwa mh Mbowe tu.
Unasema kwanini yawe kipindi hiki tu
Kwani kina Chacha Wangwe walikufa kipindi gani?
Kina Mwangosi yaliwakuta kwenye kipindi gani?
Dr Ulimboka aling'olewa kucha kwenye kipindi gani?
Ujinga ukizidi sana unakuwa upumbavu. Hivi mtu/kibaka akitaka kukuvamia anakutaarifu? Halafu bila aibu unasema wasitafute huruma. Huruma ? Mtu kuvunjwa mguu anatafuta huruma? Shenzi wewe1. Je Mh Mbowe Hakuwa na walinzi/Wapambe Tena mida ya usiku Kama Ile? Na Kama alikuwa nao mbona wao hawajaripotiwa kukwaruzwa Wala kupambana na hao wavamiaji?
2. Wavamizi waliingiaingia je ndani ya eneo la nyumba ya Mbowe mpaka wakamusubiri apaki gari lake akaanza kupanda ngazi ndo wakamuvamia? Nikweli nyumba ya kiongozi mkubwa Kama Mbowe haina walinzi kweli Hadi watu waingie kirahisi vile? Na Kama wapo walipambana na hao wavamizi?
3. Nikweli Mbowe pale dodoma anaishi mwenyewe tu Hakuna mtu mwingine anaeishi nae? Na Kama yupo je mbona yeye hakuumizwa Wala kujeruhiwa au hao wavamizi walikuwa ghosts?
4. Nikweli tukio la Mbowe limekaa kisaiasa au kijamii , ikumbukwe pia Wabunge wetu huwa wanatabia ya kuingilia mahusiano ya watu wanapokuwa huko bungeni(hili lipo wazi) japo simanishi ndo Sababu ila inaweza wekwa kwenye kudhani pia.
NOTE; Ikumbukwe tukio hili la uvamizi halijafanyika barabarani,bar,ofisini na n.k Bali limefanyika eneo la makazi ya Mbowe Tena akipanda ngazi.
Inatafutwa kick? Kuvunja mtu mguu ni kick? Ushenzi uliojeIfike mahali chadema ichunguzwe kwa jicho la pili maana matukio yao yote yana dalili za inner circle.
Ni wazi inatafutwa kick nyingine hapa ila nadhani watanzania tumeamka sasa!
Maswali yako yote niyakipumbavu kwasababu it is known for long now kuna kundi linalojulokana na serikali halijulikani na umma lina shambulia na kuteka na kuua critics na wapinzaniWanabodi Natumai mpo salama na Mungu anaendelea kutuepusha na hili janga la Covid19 Basi naomba niende kwenye mada bila kupoteza muda.
Leo asubuhi nimekutana na habari ya kuvamiwa
kwa mwenyekitii wa Chadema, Mh freeman Mbowe akiwa Dodoma.
Hivyo ikabidi nifuatilie undani wa taarifa zaidi, nanukuu nilichokisikia kutoka kwa Tumain makene Kupitia sauti ya simu;
"Nikweli mwenyekiti wetu amevamiwa na kundi la watu wasiojulikana mida ya sa6-7 usiku wakati akirejea nyumbani kwake, kundi Hilo lilimuvizia alipokuwa akipanda ngazi za kuelekea nyumban kwake Dodoma na likampiga na kumjeruhi. Amekimbizwa hospital kwa ajili ya matibabu zaidi taarifa zaidi tutazitoa baadae" Tumain Makene Msemaji wa idara ya nawasiliano Chadema.
Kwamaelezo hayo yamenifanya nipate ukakasi juu ya hilo tukio na kufanya nilione kwa asilimia kubwa Kama Ni kiki za kisiasa tu za kujarbu kutafta huruma kwa wananchi. Miongoni mwa masawali yanayotatiza juu ya hilo tukio Ni hayapa;
1. Je Mh Mbowe Hakuwa na walinzi/Wapambe Tena mida ya usiku Kama Ile? Na Kama alikuwa nao mbona wao hawajaripotiwa kukwaruzwa Wala kupambana na hao wavamiaji?
2. Wavamizi waliingiaingia je ndani ya eneo la nyumba ya Mbowe mpaka wakamusubiri apaki gari lake akaanza kupanda ngazi ndo wakamuvamia? Nikweli nyumba ya kiongozi mkubwa Kama Mbowe haina walinzi kweli Hadi watu waingie kirahisi vile? Na Kama wapo walipambana na hao wavamizi?
3. Nikweli Mbowe pale dodoma anaishi mwenyewe tu Hakuna mtu mwingine anaeishi nae? Na Kama yupo je mbona yeye hakuumizwa Wala kujeruhiwa au hao wavamizi walikuwa ghosts?
4. Nikweli tukio la Mbowe limekaa kisaiasa au kijamii , ikumbukwe pia Wabunge wetu huwa wanatabia ya kuingilia mahusiano ya watu wanapokuwa huko bungeni(hili lipo wazi) japo simanishi ndo Sababu ila inaweza wekwa kwenye kudhani pia.
NOTE; Ikumbukwe tukio hili la uvamizi halijafanyika barabarani,bar,ofisini na n.k Bali limefanyika eneo la makazi ya Mbowe Tena akipanda ngazi.
#Viongozi punguzeni kiki za kisiasa mtakuja kuumia halfu bila kupata hiyo huruma mnayoitafta.
#Watu punguzeni kudhurula usiku wa manane pia. Mpaka inafika sa6+ hujarejea nyumbani tu huo Ni udhurulaji hata Sheria ya udhurulaji ipo wazi juu ya hili. Pia tusisahau kuwa usiku una Mambo mengi sana.
Ahsanteni.
Umeshituka na mwenzio nani, mbuzi ww.Hawa wameshaigeuza iyo ya kuvamiwa ndo sera, wananchi tumeshituka, atakaye wapa kura hakika ana maslai ya moja kwa moja nao lasihivyo hawapati kitu hapa
Uko sawa mkuu ila matukio unajua nani anayatengeneza? Hizo zote ni juhudi za kuua chadema kwa maneno na matendo ya viongozi wakuu wa ccmUko sahihi mkuu upinzani upo kwenye mioyo ya watu ila sasa Jambo la muhimu ni kwa jinsi gani huo upenzani utaendeshwa kwa namna bora na si kwa siasa za matukio na kupakaziana lawama, huo sio upinzani wenye tija mkuu.