CHADEMA imeharibu maadili ya Taifa letu. Siasa zao zimejikita kwenye matusi, upotoshaji, vurugu na ufitinishaji; kama Taifa tuseme NO

instinct desire

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
2,503
Reaction score
1,757
Kila siku tunalalamika kushuka kwa Maadili nchini lakini wavuruga maadili nchini ni chadema.

Mpaka Leo hii maadili ya watanzania yameharibika kwasababu ya viongozi wa chadema na chama Chao cha chadema.

Kwasababu matusi kwao ndo njia ya kufikishia ujumbe, upotoshaji kwao ndo ajenda ya kupata attention, siasa za vurugu kwa chadema ndo moto wao hii hapana hili chama hakitakiwi kuwepo nchini.
 
Kwa hiyo mnapomuondoa wakala wa CHADEMA kwenye kituo Cha kupiga kura kwa nguvu ili muongeze kura hayo ni maadili ?

Chama Dola Tena kina Mawaziri wa Mambo ya Ndani wa CCM..mnakaa kimya wananchi wakitekwa...anatekwa mpaka balozi ....hayo ni maadili ?

Ufisadi Kila Kona...kutoka juu mpaka chini hayo ni maadili ?

Matusi yanatakiwa yaongezeke...kwanza fu...k you !!
 
Kmlmm.yke
 
Kila siku tunalalamika kushuka kwa Maadili nchini lakini wavuruga maadili nchini ni chadema.

Mpaka Leo hii maadili ya watanzania yameharibika kwasababu ya viongozi wa chadema na chama Chao cha chadema.

Kwasababu matusi kwao ndo njia ya kufikishia ujumbe, upotoshaji kwao ndo ajenda ya kupata attention, siasa za vurugu kwa chadema ndo moto wao hii hapana hili chama hakitakiwi kuwepo nchini.
Kuteka,kuua raia na kuiba mali za umma ndiyo maadili.
 
Kila siku tunalalamika kushuka kwa Maadili nchini lakini wavuruga maadili nchini ni chadema.

Mpaka Leo hii maadili ya watanzania yameharibika kwasababu ya viongozi wa chadema na chama Chao cha chadema.

Kwasababu matusi kwao ndo njia ya kufikishia ujumbe, upotoshaji kwao ndo ajenda ya kupata attention, siasa za vurugu kwa chadema ndo moto wao hii hapana hili chama hakitakiwi kuwepo nchini.
Ila ccm inayoteka, kufira na kuua ndio inayolinda maadili ya nchi hii. Mko nje ya muda, mtaji wenu ccm ilikuwa ni wajinga, hao wameisha ndio maana mnapaniki mkiona watu wametoka nje ya box.
 
Kila siku tunalalamika kushuka kwa Maadili nchini lakini wavuruga maadili nchini ni chadema.

Mpaka Leo hii maadili ya watanzania yameharibika kwasababu ya viongozi wa chadema na chama Chao cha chadema.

Kwasababu matusi kwao ndo njia ya kufikishia ujumbe, upotoshaji kwao ndo ajenda ya kupata attention, siasa za vurugu kwa chadema ndo moto wao hii hapana hili chama hakitakiwi kuwepo nchini.
downloadfile-15.jpg
 
Rubbish! Takataka. Ongelea mauajinya 29.10. Utaonekana mtu wa maana
 
Kila siku tunalalamika kushuka kwa Maadili nchini lakini wavuruga maadili nchini ni chadema.

Mpaka Leo hii maadili ya watanzania yameharibika kwasababu ya viongozi wa chadema na chama Chao cha chadema.

Kwasababu matusi kwao ndo njia ya kufikishia ujumbe, upotoshaji kwao ndo ajenda ya kupata attention, siasa za vurugu kwa chadema ndo moto wao hii hapana hili chama hakitakiwi kuwepo nchini.
20251118_075441.jpg
 
Naungana na ww kwa asilimia mia moja, uko sahihi kabisa

Yani chadema wameanzisha matusi, vurugu, kuteka watu, kuua watu, wizi wa mali ya umma, hata bungeni hamna kitu cha maana chadema wanafanya

So uko sahihi
 
Kila siku tunalalamika kushuka kwa Maadili nchini lakini wavuruga maadili nchini ni chadema.

Mpaka Leo hii maadili ya watanzania yameharibika kwasababu ya viongozi wa chadema na chama Chao cha chadema.

Kwasababu matusi kwao ndo njia ya kufikishia ujumbe, upotoshaji kwao ndo ajenda ya kupata attention, siasa za vurugu kwa chadema ndo moto wao hii hapana hili chama hakitakiwi kuwepo nchini.
Hivi kwenye chinja chinja wa oct29 utakosa kuwa kweli?
 
Kila siku tunalalamika kushuka kwa Maadili nchini lakini wavuruga maadili nchini ni chadema.

Mpaka Leo hii maadili ya watanzania yameharibika kwasababu ya viongozi wa chadema na chama Chao cha chadema.

Kwasababu matusi kwao ndo njia ya kufikishia ujumbe, upotoshaji kwao ndo ajenda ya kupata attention, siasa za vurugu kwa chadema ndo moto wao hii hapana hili chama hakitakiwi kuwepo nchini.
Ccm imejaza wajinga wajinga tu hata wafuasi wao ni wajinga
 
Back
Top Bottom