britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Inakuwaje yatajwe majina wakati Chande mwenyewe anasema tume haikuwa na mamlaka ya kuangalia "nani kakosea nini"Top mmoja kateleza katika maongezi kavujisha Taarifa sehemu kwamba
Report ya Chande Tayari imewataja watu fulan na wanaweza wakapotea hivo wakamatwe kabla ya Juma kuisha na ikibidi wakamatwe leo usiku hivi inabidi mkae kwa rada sana !!!
Najiuliza kwani kumbe report haikuwa ya maana yeyote ni kablasha tu la kumfurahisha Mama yenu?
Huu ujinga sana 22/04/2026
Britanicca
Una hoja ya kutiliwa maanani. Chadema jifiche mpaka tuone nani ataangukiwa na gunia la Chande la uongoTop mmoja kateleza katika maongezi kavujisha Taarifa sehemu kwamba
Report ya Chande Tayari imewataja watu fulan na wanaweza wakapotea hivo wakamatwe kabla ya Juma kuisha na ikibidi wakamatwe leo usiku hivi inabidi mkae kwa rada sana !!!
Najiuliza kwani kumbe report haikuwa ya maana yeyote ni kablasha tu la kumfurahisha Mama yenu?
Huu ujinga sana 22/04/2026
Britanicca
Samia nchi imemshinda hiiUna hoja ya kutiliwa maanani. Chadema jifiche mpaka tuone nani ataangukiwa na gunia la Chande la uongo
Ripoti ya Tume ya Jaji Chande ni sabuni ya kumsafisha Samia.Top mmoja kateleza katika maongezi kavujisha Taarifa sehemu kwamba
Report ya Chande Tayari imewataja watu fulan na wanaweza wakapotea hivo wakamatwe kabla ya Juma kuisha na ikibidi wakamatwe leo usiku hivi inabidi mkae kwa rada sana !!!
Najiuliza kwani kumbe report haikuwa ya maana yeyote ni kablasha tu la kumfurahisha Mama yenu?
Huu ujinga sana 22/04/2026
Britanicca
Jasusi tayari lipo chimboGwajima akae rada
Hujanipata wasilale kwao hadi report feki ipite sasa linalokuja Liwe kwa organized political moveSasa hao viongozi wa CHADEMA watajificha wapi, na hadi lini?
Si huyo mmoja tayari yupo gerezani?
Hii habari ya kujifcha viongozi ni ya kipuuzi kabisa
Bado haieleweki.Hujanipata wasilale kwao hadi report feki ipite sasa linalokuja Liwe kwa organized political move
Britanicca
Inasikitisha sana, na sio kitambo watu watachokaDah! My Tanganyika...huyu nanii anatupa tu zigo lake kwa watu wengine!!