Viongozi wa CHADEMA na wanaharakati leo ikibidi msilale majumbani kwenu

Kuna ujinga mwingi kila mtu alishapata info
 
Yani no Reform no Election ndio ilifuata watu majumbani na kupiga risasi mbona wanataka tonesha vidonda utasemaje Lisu alichochea wakati tangu mwezi wa nne yupo mahabusu CCM imefanya kampeni za udiwani, ubunge na Urais nchi nzima kwanini ilishindwa shawawishi watu waachane na kauli za no reform no election

CHADEMA kilizuiwa kufanya shughuli za chama ikabaki CCM na machawa wake iweje washindwe shawishi wanainchi wakae ndani mpaka CHADEMA abebeshwe zigo la kinyesi
 
Unaandika porojo kama hizi kwa kuwa unajua fika humu una wateja wako wengi tu wanaopenda umbeya na uzushi kama huu
 
Sasa hao viongozi wa CHADEMA watajificha wapi, na hadi lini?
Si huyo mmoja tayari yupo gerezani?

Hii habari ya kujifcha viongozi ni ya kipuuzi kabisa
Ahsante.
Hii ni habr ya kitoto kabisa
 
Yana mwisho na hauko mbali
 
Hakuna uhalisia bana, Mambo sio marahisi hivyo kama unavyotuaminisha.
Dunia nzima macho yapo Tanzania kufuatilia hiyo report kesho inakuja na nini. Serikali haiwezi kuwa blinded to that extent wakati inaangalia itokeje ilipo Ili iaminike na jamii ya kimataifa.

Hivyo kusoma report na kukamata watu tena wapinzani kisa matokeo ya report ni jambo ambalo ni gumu kutokea na hilo halipo usitulishe matango pori.
 
Gwqjima na kitime lazima wataangushiwa jumba bovu
 
Samia nchi imemshinda hii
yule eti mimi siwezi kuhesabu mabati moja mbili tatu nne mimi nikuangalia graph imepanda au kushuka aseee , kwaio yeye akiona graph imepanda uchumi umekuwa 😂
 
Nani alitoa amri WaTanganyika wauawe?
Waliuawa wangapi?
Miili ilipelekwa wapi?
 
Kama mnataka mjue tz si ya mama wa mtu, jaribu mmteke heche, au mumkamate baada ya hiyo ripoti ya chande ndo mtajua kuwa we are enough. Serengeti hakutapitika coz hadi wanyama wamepewa code ya miluzi na watatoka kuziba kote.
 
Hamna tume hapo uchunguz haupo, huwez kujichunguza wew mwenyew.
Matokeo ya uchunguz yamepikwa mezan.

Bora wachunguz wangetoka nje ya nchi na si upuuz na maigizo tunayo fanyiwa sasa.
 
Unaposema Dunia mzima, ni Dunia gani unaizungumzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…