BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Kwa techinolojia ya sasa kuna, vifaa vingi sana vya siri vya kuwezesha kupata Data. Hii ni moja ya njia ya kudili na hawa Police CCM.
Kwenye nyumba wekeni Camera za siri zisizo onekana kabisa na zile za kawaida yaani CCTV Camera zinazo onekana.
Mfano pale makao makuu ya CHADEMA zinapaswa kufungwa camera za siri na za kawaida na zile za siri zisijulikane hata na staff wa pale offisini, na pia kwenye offisi zote za kanda na mikoa.
Viongozi tembeeni na camera za siri sana na virecord sauti vya siri kabisa, hii itasaidia sana kuwaumbua hawa Polisi
Tukio la juzi la watu kukamatwa na kwenda kutupwa porini kama viongozi wangekuwa na camera au virecord sauti vyya siri wangewaumbua sana wale washenzi.