Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Ukiona jambo hujashirikishwa ujue haikuhusu. Sasa nini kimekuwasha wewe hadi ulete haya huku? Ungekuwa mhusika ungeshirikishwaπ‘π‘Kuna kikao kimefanyika nyumbani kwa Mhe. Mbowe huko Kilimanjaro. Baada ya kikao viongozi hao wamepost picha na kuweka maneno yanayoashiria kuna jambo zito lililofanyika leo.
Je kikao hiki kinahusu nini? Kwanini kifanyike bila katibu Mkuu wala viongozi wengine waandamizi? Je, Tundu Lisu kupitia kikao hiki ameridhia kushiriki uchaguzi mkuu 2024/2025?
Kikao kitatoa kwa umma maazimio au itabaki kuwa siri?
Uongo utakusaidia nini wewe kapuku ?Kuna kikao kimefanyika nyumbani kwa Mbowe huko Kilimanjaro. Baada ya kikao viongozi hao wamepost picha na kuweka maneno yanayoashiria kuna jambo zito lililofanyika leo.
Je kikao hiki kinahusu nini? Kwanini kifanyike bila katibu Mkuu wala viongozi wengine waandamizi? Je, Tundu Lisu kupitia kikao hiki ameridhia kushiriki uchaguzi mkuu 2024/2025?
Kikao kitatoa kwa umma maazimio au itabaki kuwa siri?
Hiyo ni saccos mkuu,sio chama cha siasaKuna kikao kimefanyika nyumbani kwa Mbowe huko Kilimanjaro. Baada ya kikao viongozi hao wamepost picha na kuweka maneno yanayoashiria kuna jambo zito lililofanyika leo.
Je, kikao hiki kinahusu nini? Kwanini kifanyike bila katibu Mkuu wala viongozi wengine waandamizi? Je, Tundu Lissu kupitia kikao hiki ameridhia kushiriki uchaguzi mkuu 2024/2025?
Kikao kitatoa kwa umma maazimio au itabaki kuwa siri?
Ni kweli itakuwa ni kikao cha watu wawili tu, Mbowe na Lissu, wakijadili kichapo wanachokipata kutoka kwa Makonda. Na bado, watasema.Namna Muenezi wa CCM Makonda anavyogeuza upepo imewastua sana. Mbowe na Chadema wana hofu na muafaka wa maridhiano.
Hakuna kikao chochote baada ya Lisu kutoka kituo cha polisi alienda kusalimiana na Mwenyekiti mboe acha uzushi.Kuna kikao kimefanyika nyumbani kwa Mbowe huko Kilimanjaro. Baada ya kikao viongozi hao wamepost picha na kuweka maneno yanayoashiria kuna jambo zito lililofanyika leo.
Je, kikao hiki kinahusu nini? Kwanini kifanyike bila katibu Mkuu wala viongozi wengine waandamizi? Je, Tundu Lissu kupitia kikao hiki ameridhia kushiriki uchaguzi mkuu 2024/2025?
Kikao kitatoa kwa umma maazimio au itabaki kuwa siri?
Erythrocyte ndio aligeuka kuwa mpiga picha wa bangaloo la mwamba ππErythrocyte, njoo huku utoe ufafanuzi
Ndiye msemaji wa chama hapa jukwaaniErythrocyte ndio aligeuka kuwa mpiga picha wa bangaloo la mwamba ππ
Hivi iwe siri halafu wajitokeze hadharani kupiga picha ya pamoja ?[emoji23]Kuna kikao kimefanyika nyumbani kwa Mbowe huko Kilimanjaro. Baada ya kikao viongozi hao wamepost picha na kuweka maneno yanayoashiria kuna jambo zito lililofanyika leo.
Je, kikao hiki kinahusu nini? Kwanini kifanyike bila katibu Mkuu wala viongozi wengine waandamizi? Je, Tundu Lissu kupitia kikao hiki ameridhia kushiriki uchaguzi mkuu 2024/2025?
Kikao kitatoa kwa umma maazimio au itabaki kuwa siri?
Kwani Tanzania Kuna upinzani au matapeli tuKuna kikao kimefanyika nyumbani kwa Mbowe huko Kilimanjaro. Baada ya kikao viongozi hao wamepost picha na kuweka maneno yanayoashiria kuna jambo zito lililofanyika leo.
Je, kikao hiki kinahusu nini? Kwanini kifanyike bila katibu Mkuu wala viongozi wengine waandamizi? Je, Tundu Lissu kupitia kikao hiki ameridhia kushiriki uchaguzi mkuu 2024/2025?
Kikao kitatoa kwa umma maazimio au itabaki kuwa siri?
Yuko wapi Erythrocyte ?Kuna kikao kimefanyika nyumbani kwa Mbowe huko Kilimanjaro. Baada ya kikao viongozi hao wamepost picha na kuweka maneno yanayoashiria kuna jambo zito lililofanyika leo.