Viongozi wa CHADEMA washiriki ibada ya kumuaga Johara Mtei, Salamu za rambirambi zaendelea kumiminika

Viongozi wa CHADEMA washiriki ibada ya kumuaga Johara Mtei, Salamu za rambirambi zaendelea kumiminika

Kuna watu wanadhani wapinzani wakishinda ndiyo matatizo yao yataisha, kumbe wapinzani wa Afrika nao ni wasaka tonge tu
Huwa nawaza kama chadema wangeshinda 2015 sijui tungekuwa na hali gani chini ya lile fisadi!
 
Kwahiyo unatakaje,inavyoonyesha unazochembechembe za ubaguzi wa kiitikadi tena zenye udini ndani yake.
Watoto wa teuzi wa Samia hao. Wamejaa uislamu na kuona wengine ni makafri.
Dawa yao ipo jikoni na tuta wabebesha Samia wao na tutahakikisha wanahamia Oman na Dubai huko kwa waislamu wenzao , wasituletee upumbavu hapa.
 
Leo kapata urais, anataka wazambia wote wawe wasabato. Ndicho walichokuwa wanapigania?! Huyu jirani yake Malawi naye vituko.

Afrika tumelaaniwa.
Katumia polisi na usalama na mahakama na takataka zote "kuwalazimisha wazambia wote wawe wasabato"?
Kama kafanya hivyo, hata mimi nampinga, hafai kabisa kama hawa wa hapa kwetu wanaotulazimisha wao pekee ndio wawe viongozi wetu, tutake au tusitake.
 
Watoto wa teuzi wa Samia hao. Wamejaa uislamu na kuona wengine ni makafri.
Dawa yao ipo jikoni na tuta wabebesha Samia wao na tutahakikisha wanahamia Oman na Dubai huko kwa waislamu wenzao , wasituletee upumbavu hapa.
Hakika kila mtu ale kwa nguvu zake ccm islam chadema ukristo.
 
CCM islamu ni MAGAIDI na Haramu kubwa kwa nchi. Kulazimisha Mbowe awe GAIDI wa CCM haitamfanya afanane nanyi .. pumbavu kabisa.
Kweli kabisa magaidi hayafai kukaa karibu na wakristo yaondolewe
 
Hatuna haja ya kufanya hivyo , Rais mpya wa Zambia Hichilema alipokuwa gerezani kwa mashitaka ya uzushi kama ya Mbowe hakuwahi kuruhusiwa kushiriki mazishi ya ndugu zake .
Tanzania siyo Zambia! Watanzania hawawezi shawishiwa na matokeo ya Zambia.
 
Huko Dar na wanachama, wapenzi na mashabiki wote wa Chadema poleni sana. Polekeni application mahakama kuu ya kuomba dhamani ili Mwenyekiti wenu japo ahudhurie mazishi kwa siku yatakayo pangwa.
Fredrick Kabendera hakuruhusiwa kwenda kumzika Mama yake.
 
Back
Top Bottom