Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Mbona kama wamemruka mkuu wa mkoa.Wameenda kumuombea raisi si ilibidi wamuombee na RC ambaye ni mwakilishi wake?Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Mashaka Gambo amefuturisha viongozi wa Dini ya Kiislam, Yatima na Wajane zaidi ya 1,000 siku ya Jumamosi ya Tarehe 22 March 2025 Jijini Arusha.
Kwenye hafla hiyo viongozi wa Dini wamemuombea DUA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan pamoja na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Mrisho Mashaka Gambo.
View attachment 3280540
Soma Pre GE2025 - ARU - Gambo afuturisha Arusha, asema anajivunia kuwa sehemu ya shughuli hiyo ya kujenga jamii iliyojaa huruma na upendo
Paulo atachinja ng'ombe za kutoshaSasa ngoja waliomuomba Paulo agombee ubunge na wao wafuturishwe