macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Halafu ukubwa wa hicho kitu ukapungua ghafla?Huwezi kujua ni nini walikuwa wanatafuta kutatua, lazima kuna kitu walikuwa wanajaribu kushughulikia, tena kikubwa. Tafadhali usiwatukane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu ukubwa wa hicho kitu ukapungua ghafla?Huwezi kujua ni nini walikuwa wanatafuta kutatua, lazima kuna kitu walikuwa wanajaribu kushughulikia, tena kikubwa. Tafadhali usiwatukane
Mtizamo wa kukishughulikia ndiyo uliobadilika siyo ukubwa wake; possibly ukubwa wake umeongezeka zaidi na ndiyo maana strategy ya kukishughulikia nayo imeabadilika pia. By the way, how old are you?Halafu ukubwa wa hicho kitu ukapungua ghafla?