macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 25,191 Reaction score 48,765 Aug 20, 2021 #21 Makanyaga said: Huwezi kujua ni nini walikuwa wanatafuta kutatua, lazima kuna kitu walikuwa wanajaribu kushughulikia, tena kikubwa. Tafadhali usiwatukane Click to expand... Halafu ukubwa wa hicho kitu ukapungua ghafla?
Makanyaga said: Huwezi kujua ni nini walikuwa wanatafuta kutatua, lazima kuna kitu walikuwa wanajaribu kushughulikia, tena kikubwa. Tafadhali usiwatukane Click to expand... Halafu ukubwa wa hicho kitu ukapungua ghafla?
Makanyaga JF-Expert Member Joined Sep 28, 2007 Posts 11,129 Reaction score 7,321 Aug 20, 2021 #22 macho_mdiliko said: Halafu ukubwa wa hicho kitu ukapungua ghafla? Click to expand... Mtizamo wa kukishughulikia ndiyo uliobadilika siyo ukubwa wake; possibly ukubwa wake umeongezeka zaidi na ndiyo maana strategy ya kukishughulikia nayo imeabadilika pia. By the way, how old are you?
macho_mdiliko said: Halafu ukubwa wa hicho kitu ukapungua ghafla? Click to expand... Mtizamo wa kukishughulikia ndiyo uliobadilika siyo ukubwa wake; possibly ukubwa wake umeongezeka zaidi na ndiyo maana strategy ya kukishughulikia nayo imeabadilika pia. By the way, how old are you?