This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,198
- 5,454
Dini yangu ni bora hata zaidi kwangu kuliko hata roho yangu mwenyewe.Mimi ni katika hiki kizazi kinachoitwa "generation z" ila Dini yangu kwanza. Dini yangu ni bora zaidi kwangu kuliko hata roho yangu mwenyewe. Allah Aniongoze mimi na huyo binti na Waislam wote katika njia iliyonyooka, Aamiin.
Ninamuomba Allah Anifishe katika Uislam na Sunnah.
Kwa uelewa wangu wa imani...hakuna imani inayojiona ni bora kuliko ingine.."Agreeing to disagree" kama mkristo niliielewa sana kwenye issue sensitive kama imani!Mimi ni katika hiki kizazi kinachoitwa "generation z" ila Dini yangu kwanza. Dini yangu ni bora zaidi kwangu kuliko hata roho yangu mwenyewe. Allah Aniongoze mimi na huyo binti na Waislam wote katika njia iliyonyooka, Aamiin.
Ninamuomba Allah Anifishe katika Uislam na Sunnah.