Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Mimi sio mfuasi wa Gwajima hata kidogo.. Ana mashimo yake mengi tu.. Lakini pale alipojitoa waziwazi kuliongelea swala linalotuumiza sana la utekaji ghafla akageuka shujaa wa wengi maana aliongea kile watu walichotaka kukisikia
Uungwaji wake huo mkubwa haukumfurahisha kila mtu.. Na hili wala si tatizo kabisa
Baada ya ile press conference yake mojawapo ya watu waliomuunga mkono waziwazi ni viongozi wenzake wa dini na imani mbalimbali...lakini baada ya shughuli ya kule Bagamoyo ile ya KKKT mambo ya kwanza kugeuka
Tumeanza wiki na viongozi wasiotarajiwa kabisa wa dini wakiitisha PC na kumshambulia Gwajima kwa kile alichofanyq lakini wakikiwekea ladha na viungo vyao.. Body language zao zinaaakisi wanavyohukumiwa na nafsi zao
Leo ilikuwa Hananja na Mwaipopo.. Hananja wa Leo sio yule aliyezoeleka.. Alikuwa anajihami mno kwenye mashambulizi yake.. Tunategemea watafuata wengi zaidi
Kina kampeni ya NO REFORMS NO ELECTION.. Ilipoanza hawakuipa uzito wakadharau na kuibeza .. Ilipokolea na kuunguza kaka moto wa nyikani wakajibu mapigo yasiyo na nguvu ya oktoba tunatiki
Hii imefemea vibaya mno na inaelekea icu.. Viongozi wa dini wanaojitokeza sasa wajifunze kwenye hili.. Umoja wao ndio nguvu yao ..kamwe wasikubali kugombanishwa.. Maana kwenye hili kuna upande utashindwa na ni dhahiri shayiri utakaoshinda unaonekana wazi
Wamakinike maana kwenye mihadhara yao wasije wakajikuta wanazomewa na,kudhalilishwa