Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 1,271
- 1,604
Siku chache zilizopita mlifanya kongamano la kuliombea taifa kuingia katika uchaguzi mkuu.Mlisisitiza amani,amani ,amani...
Chadema mtahangaika na kila taasisi na kila mtu mwaka huu mnalialia tu wakati wanakuja kwenye majukwaa yenu 2015 ulisema unaanza na Mungu sasa mnaanza na shetani tena wa kishoga mtalia sanaSiku chache zilizopita mlifanya kongamano la kuliombea taifa kuingia katika uchaguzi mkuu. Mlisisitiza amani, amani, amani. Haya yanayoendelea hamyaoni? Wagombea ubunge na udiwani kupitia upinzani hasa CHADEMA wameenguliwa katika majimbo zaidi ya 20 kwa uonevu huku tume ya uchaguzi ikikaa kimya...
Kuna viongozi wa dini au kuna waiba sadaka tu?Siku chache zilizopita mlifanya kongamano la kuliombea taifa kuingia katika uchaguzi mkuu. Mlisisitiza amani, amani, amani. Haya yanayoendelea hamyaoni? Wagombea ubunge na udiwani kupitia upinzani hasa CHADEMA wameenguliwa katika majimbo zaidi ya 20 kwa uonevu huku tume ya uchaguzi ikikaa kimya...
Mimi ni mkatoliii nimebatizw ana kupokea kipaimara tangu niwajue hawa wanaojiita mapadre nina miaka 7 siendi kanisani na wala sitoi sadaka. Ni wachumia tumbo tu.Yaani siku hizi nikisia neno padri nafunga masikio:-
(1) zamani ilikuwa ukiona Padri anaangalia juu angani unapata hisia huyu Padri atakuwa anaongea na mungu lakini vipadre vya siku hizi ukiona kinaangalia juu ukikisikiliza story zake utasikia kinasema nchi hii huko juu ni mindege na miflyover m yamejaa kibao ! Hii ni Tanzania mpya na CCM mpya imezaa Chato mpya...
Mungu wa Israel atukomboe.Mungu atasimama kwa ajili ya wote wanaoonewa
Mimi ni mkatoliii nimebatizw ana kupokea kipaimara tangu niwajue hawa wanaojiita mapadre nina miaka 7 siendi kanisani na wala sitoi sadaka. Ni wachumia tumbo tu.
The so called viongozi wa dini ni washenzi wakubwa! Wajasilia dini , wahuni takataka tupu!Siku chache zilizopita mlifanya kongamano la kuliombea taifa kuingia katika uchaguzi mkuu. Mlisisitiza amani, amani, amani. Haya yanayoendelea hamyaoni?
Wagombea ubunge na udiwani kupitia upinzani hasa CHADEMA wameenguliwa katika majimbo zaidi ya 20 kwa uonevu huku tume ya uchaguzi ikikaa kimya.
Baadhi ya polisi nao wanasaidia kufanikisha mpango huu mchafu ni amani gani inayoweza kupatikana bila haki? Mungu uliyehai, Mungu wa kweli nakuomba watu wa namna hiyo uwachukue waje Mbinguni wakae upande wa kuume kwako?
Kinachoendelea sasa Tanzania ni uchafuzi wa uchaguzi.
Siku chache zilizopita mlifanya kongamano la kuliombea taifa kuingia katika uchaguzi mkuu. Mlisisitiza amani, amani, amani. Haya yanayoendelea hamyaoni?
Wagombea ubunge na udiwani kupitia upinzani hasa CHADEMA wameenguliwa katika majimbo zaidi ya 20 kwa uonevu huku tume ya uchaguzi ikikaa kimya.
Baadhi ya polisi nao wanasaidia kufanikisha mpango huu mchafu ni amani gani inayoweza kupatikana bila haki? Mungu uliyehai, Mungu wa kweli nakuomba watu wa namna hiyo uwachukue waje Mbinguni wakae upande wa kuume kwako?
Kinachoendelea sasa Tanzania ni uchafuzi wa uchaguzi.
Ila ni kweli kuwa chama cha wasukuma kinatumia mabavu ya dola kuendelea kutawalaBrother
Sio kweli Kwamba hicho chama Cha wachaga wamekatwa majimbo 20.