Uchaguzi 2020 Viongozi wa Dini Mungu anawaona! Yanayoendelea hamyaoni?

Katika watu wakuwafata mda kama huu sio viongozi wa kidini amna chamaana wanachoweza kuoffer zaidi ya unafiki
 

Naiona Libya ileee, inakuja polepole Tanzania.
 
Mimi kuanzia sasa sintotoa inayoitwa sadaka kwani muumba hajasema nikitaka kutoa sadaka nimpekwanza shetani alafu ndio imfikie yeye mungu. viongozi wadini wengi wanafanyakazi za shetani
 
Tanzania viongozi wa dini ni wachache sana kama Maaskofu Bagonza , Mwamakula na Sheikh Ponda. Waliobaki ni wahuni na wafanyabiashara walio kwenye payrol ya Magufuli
 
Hao akina Gwajiboy , malasusa , pengo , shekhe mkuu wa mkoa wa dar hawajawahi kuwa viongozi wa dini bali Ni viongozi wa dini ya vibahasha ...wazee wa vibahasha
 
Hii kufuru sijui Pope Francis ataipokeaje jamani?!
Lakini ni kosa kubwa zaidi kutumia viongozi wa dini na majeshi ya nchi kisiasa. Watanzania sasa tumevuka mpaka kati ya amani na vurugu. Tutajuta!
 
Tunawala sadaka tu wao wanaona madaraja tu injustice zote hawaoni Kabisa Mimi kupeleka hela Yangu hapana imetosha wanasifia tu

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Siku hizi hakuna viongozi wa Dini...Baki na Imani yako tu...utaumia bure!
 
Viongozi wa dini wengi wapo kwa ajili ya maslahi tu kuzitafuna sadaka tu,na wapo wachache ambao ni wacha Mungu kweli na hawapo kwenye dini kwa ajili ya maslahi fulani,tunawatambua kwa matendo yao
 
Hawana maana. Taifa linazama kwenye uovu ma maaskofu wapo. Makardinali wapo. Hili haliwezekani kwa watumishi wa kweli wa taifa la Mungu.
 
Mimi kuanzia sasa sintotoa inayoitwa sadaka kwani muumba hajasema nikitaka kutoa sadaka nimpekwanza shetani alafu ndio imfikie yeye mungu. viongozi wadini wengi wanafanyakazi za shetani
Viongozi wa dini wengi nilishawagundua kitambo sana. Ile ni kazi kama kazi nyingine ili mkono uende kinywani.
 
Kwe
Viongozi wa dini wengi nilishawagundua kitambo sana. Ile ni kazi kama kazi nyingine ili mkono uende kinywani.
Kweli kaka huwa wanatuhofisha ilitutoe sadaka utadhani waowalishakwenda huko wakarudi kumbe wanatetea matumboyao sintotoa tena kitukinachoitwa sadaka
 
Hawa ni madalali wa dini kazi yao ni kusifia
 
Na wewe si uwe kiongozi wa dini ujazie pale unapoona wamepungukiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…