Viongozi wa dini tambueni mipaka yenu na watu wenu msituletee taharuki mtaani, kila mtu ana dini yake na asili yake

mbegubora29

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2015
Posts
552
Reaction score
403
Tanzania ni nchi pekee iliyojaaliwa dini nyiingi saana isije ikafika kiongoz wa dini fulani ajipe milki ya amani ya nchii,wasubirini watu wenu na ongeeni na watu kama waumini wenu msitafte huruma wengine hawaamini kwa kile mnachokiamin!

Tafadhalini saana! Kama haki mtaipata mbinguni kwa baba yenu hapa tunpita tu wacha tufanye mengine sio wote tunafanya kazi ya siasa!
 
Mmelaaniwa, nyie ndio mnaoleta taharuki mitaani, acheni kusakama viongozi wa dini wanachokiona hakipo sawa
 
Peleka kitambi cha ulafi kule, umeshiba mataptapu unakuja kusimanga viongozi wa dini hapa. Umefeli mjuba
 
🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Tanzania ni nchi pekee iliyojaaliwa dini nyiingi saana isije ikafika kiongoz wa dini fulani ajipe milki ya amani ya nchii,
na wewe usijipe miliki ya haki za watu wa nchi hii
 
neno la Mungu limewashinda,
wamejikita kwenye masengenyo, kuhubiri mipasho, umbea, chuki na unafiki tu madhabahuni
 
Hao viongozi wa dini wamekufuata kwenye dini yako? Au unajipa umuhimu kwenye dini zisizokuhusu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…