matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Mnakuwa neutral sana.
Wakati tunashambuliwa mara ya Kwanza, mlikaa kimya hadi Rais alipoingilia kati kazi zenu za maombi.
Sasa Serikali inatumia Muda mwingi kueleza kisayansi jinsi Corona inavyoweza kuua watu na jinsi ya kuukwepa, lakini sisikii viongozi wa kidini wanavyotuaminisha uwezo wa Mungu dhidi ya Corona.
Sisikii mafungu kama *mIikuwa watu wangu watajinyenyekesha na Kuomba... Nitaiponya nchi yao.
Hii kazi tufanye waumini?